MH: Mark Mandosya yupo wapi??

MAGEUZI KWELI

JF-Expert Member
Jul 16, 2011
1,947
253
Wana JF, hapa wala sijui lolote, baada ya kumwona mh Mwakimbe akitinga ndani ya office nimemkumbuka na Mh Mandosya
Yupo wapi naye jamaa, Gamba linapwaya kiaina
 
Wana JF, hapa wala sijui lolote, baada ya kumwona mh Mwakimbe akitinga ndani ya office nimemkumbuka na Mh Mandosya
Yupo wapi naye jamaa, Gamba linapwaya kiaina

:scared: Mhhh!!! usikute na yeye pia Mandosya pia wanamkulimba jamani ... Hawa Magamba watauua wangapii jamani ??? Aise they are killing them silently. Jamani watu hawa wawe wangalifu huko maofisini mwao.
 
Prof.mwaikusa alishatangulia,mwakyembe mungu amemponya lakini mzee wetu mwandosya mungu atamponya tu.tumuombee wana JF.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom