Mh:makongoro kumfwata karamagi???????

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,139
wanandugu imebaki masaa kadhaa kabla ya kumalizika siku ya jumapili na kama kila mtanzania mwenye macho na aliesikia siku bwana mkubwa mhe dk mahanga makongoro aliwaambia waheshimiwa wabunge wenye akilizao na familia zao wameacha zikiwawaza kwamba wafanyakazi wa kampuni ya ndege ya tanzania ni waongo na wambea...na kuongezea ndege ya AIRBUS A320 inaingia siku ya jumapili msiwasikilize wafanyakazi wa kampuni hii wote ni waongo na wambea....wengi wamekuja na hisia zao ila nakumbuka hivi kartibuni mhe mmoja nae ameingia mkenge kuiambia bunge kwamba baraza la mawaziri lilitoa baraka kuongeza ,nkataba wa TICTS..
MHESHIMIWA jumapili aikuwa mbali ndio maana wenye akili zao wametulia kuona kitakachoendelea ..leo hii ni jumapili kwa mdomo wako uliwaambia wabunge ndege ya airbus inakuja jumapili kwa umakini...tuko nyuma yako na wengi tulifurahi ,,baya ni kuwakashfu wazee wenye mvi zao wamekaa pale miaka zaidi ya 40 wanatumikia kampuni kwa kutokuwa hata na haya ya kuzaliwa ukawaita wambea,,Loh!!!!!!!!!!!!
Mungu mkubwa waandishi wa habari natumaini walikusikiliza na baada ya hapo wataamua kutaja nani mbea na nani muongo

MWITO KWA MH SPIKA WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO
tunaomba kama ndege hii itashindwa kuwasili siku ya leo tunaomba uingize kwenye hansad yako kwamba mhe naibu waziri ailiidanganya bunge ndege inakuja na haikutokea,,,na kama ulivyoarakissha kutoa adhabu kwa mhe zito ,,kwa ushabiki wa siasa ingawa unajuta kwanini ukumsikiliza ama si kosa lako labda ukusoma nyakati zijazo ukafanya vile tunakuomba kama umsubirvyo kwa hamu mh karamagi tunaomba mh huyu akiri mbele ya bunge aliidanganya bunge na kuwaomba wafanyakazi wote aliwaoita wambea na waongo...
SINA MENGI NA TUMAINI MUDA SIMREFU UKWELI UTADHIRIKA
WENU
MPENDA NCHI
MWANAHALISI
 
Hata ikiwasili leo bado tunamaswali na gharama zilizotumika na mkataba wenyewe kwa ujumla una kila dalili za rushwa
 
Shame at you Makongolo,kwa nini unawatukana wazazi wako jamani huoni wamekupa radhi na ndege hiyo haikuja.Na uwe makini sana na kauli zako unapotamka mbele az wakubwa zako.Au na wewe umeanza kulewa madaraka hayo ya kuja nakupita.

Kwanza maneno aliyoyatumia Mh. hayaonyeshi kama yuko serious na Bunge.Acha Ucheki bob.CHENGELISM SYSTEM WILL BE APPLIED UPON YOU.
 
Back
Top Bottom