Mh.Makamba na Viepe vya Uswazi

Asikudanganye mtu,vyepe vya uswazi vina utamu wake na kama wewe ni mtu wa kuingia 5 star hotels na umeshavionja vya uswazi unaweza kukubaliana nami kuwa huko mahotelini ni vurugu na kuibiwa fedha tu lakini uswazi kitu fresh kinatoka jikoni unakiona na hata siku moja huwezi pewa kiepe cha jana,keep it up dogo...
 
JF kuna haters sijapata kuona...! eways mi namshauri mh. makamba ajue kuna kipindupindu pia...

kipindupindu?kwani we mwenzetu walia wapi vihepe,kempsiki?una madharau sana kwa raia wanaokula vihepe stand wote wanavipindupindu?
 
Naamini leo msosi haupandi tena anamsikitikia baba yake alivyokufa kisiasa
 
Safi sana, Mfano mzuri kabisa wa maisha ya Mtanzania, Uchafu wa maandalizi ya vyakula , mazingira na vyakula hatarishi kwa Afya zetu!
 
Back
Top Bottom