Mh. Lukuv unazid kukiangusha chama chako!

Dogo Lao

Member
Nov 2, 2011
94
38
Kuna mambo ya kupinga lakin sio kila jambo. Ninachokiona hapa ni kwamba unapinga tu hoja kwakuwa zinatoka kwa wapinzan lakini hauzipimi kwanza zinauzito kiasi gani. Imekuwa ni kasumba sasa kukanusha kila hoja huku ukiungwa mkono na spika au naibu spika, huenda ukawa unafanya vema kulingana na kanuni zenu, ila kanuni pia inampa fursa spika kutumia busara ktk baadhi ya mambo. Mfno hli suala tunaloomboleza sasa halaf mbunge anaomba lijadiriwe ili upatikane ufumbuzi wa kudumu ninyi hamuoni umuhimu wake, what does it mean? Bungeni ndio mahali sahihi pa kujadili mada kubwa kama hizi na sio kwenye hizo tume zenu zenye watu sio zaidi ya 50!
 
Kenge huwa hasikii hadi umtandike mpaka damu zimtoke maskioni ndo ataskia.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Lukuvu anatetea ugali bila kutumia busara na kusoma alama za nyakati, simpendi mpaka basi!!!
 
anatetea ugali huyo, hajalishi hoja zinazokuwa zinazoongelewa ni a tija kwa taifa au la, maadamu zimetolewa na wapinzani yeye ni kupinga tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom