Mh Lowasa Mzima wa Afya na yupo Bungeni leo hii:

Status
Not open for further replies.

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Dec 22, 2010
16,987
20,271
Ndugu zangu kumekuwa na habari za upotoshwaji pengine makusudi au kutokujua!

Tangu jana kuna thread hapa ina tiririka ikisema TETESI: Lowassa Hoi

Lakini leo kwa macho yangu ya nyama na wabunge wengi watakuwa mashahidi ni kuwa Mh Lowasa yupo bungeni mjini Dodoma akiendelea na uwajibikaji kwa Taifa kama kawaida,

Binafsi sijamuona kama ana dalili za kuumwa wala kuwa HOI kama ilivyo rippotiwa hapa!

Anaetaka kushuhudia aende Bungeni Dodoma leo!
 
Atakuwa kapewa taarifa na intelinjensia yake!! ikambidi awahi, ngoja tusikilizie maana mficha maradhi ....
 
Ni jambo jema kama hupo mzima,kama binadamu ana haki ya kuwa mzima kimwili(Kiroho anajua mwenyewe na Mungu wake).
 
Tuma picha ili akina Toma tuamini unachokisema.

Kwa hali hii naamini hata picha mtabisha, hata video mtabisha na hata sauti bado mtabisha tu,

Lakini mimi nasimamia ukweli kuwa Lowasa mzima tena waafya na yipo bungeni leo!

Mwenye kutaka kuthibitisha zaidi aende bungeni Dodoma mida hii!
 
ni habari nzuri kwa kila mwanaccm maana huyo ndiye atakeyeweza kuipeleka mbele ccm, ni msomi ana uzoefu, hana makundi hana udini,, sio mswahiliswahili na historia inaonyesha wizara zote aliziongoza kwa ufanisi mkubwa sana, anayo maamuzi magumu.
watu kama kina nape watakuwa hawana nafasi kabisa maana elimu yao kwa kuongoza chama ni ndogo saana tunataka mtu atakayedebate na dr slaa au prof lipumba (fact)kama kuna mtu kauzika sina la kufanya ndio ukweli take it or leave it.
 
Ndugu zangu kumekuwa na habari za upotoshwaji pengine makusudi au kutokujua!

Tangu jana kuna thread hapa ina tiririka ikisema TETESI: Lowassa Hoi

Lakini leo kwa macho yangu ya nyama na wabunge wengi watakuwa mashahidi ni kuwa Mh Lowasa yupo bungeni mjini Dodoma akiendelea na uwajibikaji kwa Taifa kama kawaida,

Binafsi sijamuona kama ana dalili za kuumwa wala kuwa HOI kama ilivyo rippotiwa hapa!

Anaetaka kushuhudia aende Bungeni Dodoma leo!

Maradhi ya kisaikolojia, sio ya kimwili.
 
Mods siku hizi wanaachia sana habari za uongo kutamalaki kwenye hili jukwaa mpaka linapoteza thamani (credibility) yake
 
Kwa hali hii naamini hata picha mtabisha, hata video mtabisha na hata sauti bado mtabisha tu,

Lakini mimi nasimamia ukweli kuwa Lowasa mzima tena waafya na yipo bungeni leo!

Mwenye kutaka kuthibitisha zaidi aende bungeni Dodoma mida hii!

Hizi habari za uwongo zimekua zinaletwa na mahasimu wake ndani ya CCM.
 
Thread za uongo zinaishushia hadhi JF kuendelea kuwepo unakuwa kama umbea
 
Thread za uongo zinaishushia hadhi JF kuendelea kuwepo unakuwa kama umbea

Ni kweli nadhani Mods waongeze umakini kidogo kwa baadhi ya habari wajitahidi kuzithibitsha na kama hakuna ukweli basi ziondolewe kuliko kujaza sever yetu tu!
 
Mimi nashauri tuwe makini kuandika mambo yenye kuleta tija na jinsi ya kukabiliana na changamoto zinazowakabili wananchi wa Tanzania kimaisha badaly ya kuzungumzia watu. Kwani Lowassa kuugua tatizo ni nini? Acheni familia yake itueleze na si vinginevyo PLEASE!!!!!!!!
 
Ni kweli nadhani Mods waongeze umakini kidogo kwa baadhi ya habari wajitahidi kuzithibitsha na kama hakuna ukweli basi ziondolewe kuliko kujaza sever yetu tu!

Kweli mkuu naona mods wanauchapa mno usingizi mpaka unakuta Thread inatambaa page 7
 
hivi mgonjwa anafahamika kwa kumwangalia tu, kama ni kwa kutizima tu basi inawezekana TV yako inaonyesha chenga, mzee anaonekana amechoka and hana raha, na wengine wanasema anatetemeka, ana matatizo ya saikolojia, etc, vipi wewe yote umeyaona kuwa ni uongo?
 
Hiyo ripoti ya ugonjwa wake imetolewa na yeye mwenyewe, daktari wake, au mwanafamilia yeyote?

Acheni uzushi kwa kuona na kutoa taarifa za kizandiki!

Taarifa ya ugonjwa wa mtu kama ulivyoieleza hutolewa baada ya vipimo maalumu na hutolewa na mgonjwa mwenyewe kama patakuwa na ulazima!

Mkuu narudia tena kukwambia Edward Ngoyai Lowassa na mtu mhimu ndani ya ccm ni mzima wa afya tele!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom