Mh. Lipumba kaonyesha ukomavu wa kisiasa

Wewe nani hawajakuingiza Mbunge? Diwani? Katibu Kata? kama wewe kweli una machungu na Chadema mbona jana ulikimbia Maandamano mnajificha nyuma ya laptop mnaleta porojo tu, jana polisi ulikimbia maandamano ya watu kumi pale Magomeni mapipa ulikimbia halafu najifanya kamanda labda kamanda wa kihindi

wewe si wa viwango vyangu, dandia treni usidandie wanaume na usinizoee , wewe hili jani limeshakuletea madhara makubwa ambalo sheikh wenu nae ndio alikuwa anatumia.

94542-marijuana-plants-growing-outside-osama-bin-ladens-compound.jpg
 
Prof. Lipumba kakomaa kisiasa, nimependa kwa uungwana wake aliomfanyia mwenyekiti wa CDM, Nadhani ameonyesha mwanzo mzuri kwa wapinzani wakiongozwa na CDM km chama kikuu cha upinzani kufanyakazi pamoja!
 
Katika siasa za matukio ya kimkakati; kesi ya watu wa cuf inatoa fursa adimu kwa uongozi wa cdm kwanza kulipa fadhira ya ukarimu kwa Prof Lipumba, pili kurejesha mahusiano ya kichama kati ya cuf na cdm na mwisho cdm kujizolea wanachama wa ziada toka Tabora. Yote haya yanaweza kufanikiwa pale tu cdm itakapoamua ndani ya cku ziczozidi 2 kuelekeza nguvu yake ya umma na mawacliano (media coverage) katika mahakama, rumande na maeneo ya walioathirika pale urambo Tbr. Ikibidi hata wabunge wa cdm wagomee/wakose vikao vya awali vya Bunge. Nawahakikishia, iwapo cdm watatambua na kuyatekeleza hayo watakuwa wamevuka mstari wa ushindi si kwa bega bali kwa umbali mkubwa.
 
Cuf ina wabunge wengi sana kutoka Zanzibar, kwahiyo huo mshikamano wauanze akina Hamad Rashid, au James Mbatia aende huko maana nakukumbuka huyu bwana aliweza kusafiri na Lipumba pamoja kwenda kufanya roject za ccm kigoma.
 
Back
Top Bottom