S Saranda Member Jul 4, 2012 53 8 Aug 1, 2012 #21 zomba said: Kwanini asiombe ipelekwe Maryland? Click to expand... Sasa uraia wa Marekani ameukana au special duo-citizenship?
zomba said: Kwanini asiombe ipelekwe Maryland? Click to expand... Sasa uraia wa Marekani ameukana au special duo-citizenship?
igwana123 Senior Member Nov 8, 2010 175 25 Aug 1, 2012 #23 Suala la kusaidia wananchi ni nyeti lakini tujiulize je huko Kwimba anakwenda na kukaa siku ngapi kwa mwaka? au ndio yale mambo ya kuishia bungeni tu.
Suala la kusaidia wananchi ni nyeti lakini tujiulize je huko Kwimba anakwenda na kukaa siku ngapi kwa mwaka? au ndio yale mambo ya kuishia bungeni tu.