Mh. Leticia Nyerere, omba M4C ije Kwimba ikurahisishie kazi

Marire

JF-Expert Member
May 1, 2012
12,326
5,264
Leticia amekuwa anajitahidi sana kuulizia matatizo ya hilo jimbo la Kwimba na amemfunika kabisa mbunge wa kuchaguliwa ambaye ni wa CCM, leo bungeni amemwomba waziri wa maji waende wakaone tatizo la maji, na Kwimba sijawahi ona mkutano wa M4C tokea uchaguzi mkuu.

Namshauri aombe makamanda waende wakaamshe waliolala.
 
Leticia Nyerere ni mkazi wa Washington DC Marekani, Tanzania anakuja kuhudhuria vikao vya bunge tu. hiyo M4C unayoisema ni lini na ni wapi uliwahi kumuona Leticia ameshiriki?
 
Usije ukafanya wakabadilisha ratiba M4C mkoani Morogoro kuanzia 3 Agosti. Si unajua CDM haina mbunge hata mmoja mkoa wa Morogoro.

Majuzi Mh. Kasulumbayi aliwapasha watani zake wa Morogoro pamoja na ujanja wao wote wa kuishi mji kasoro bahari wanakupatia gamba. Waone aibu kupanga foleni ofisi za Abood na Hood na kwa waarabu wengine kusaidiwa chakula cha kufuturu hasa mwezi huu wa Ramadhani. Inashusha heshima, tunahitaji ukombozi wa rasilimali zetu zitunufaishe wenyewe.
 
Leticia naona sio mpiganaji tofauti na walivyo makamanda wengine wa chadema.
 
mhalisi mpiganaji hawezi kuwa Mbunge Tanzania halafu yeye anaishi Marekani, hapo Chadema iliingizwa mkenge.
 
Last edited by a moderator:
Hatakama anaishi marekani ila jimbo tunalihitaji inatakiwa liandaliwe ili 2015 iwe rahisi kwa yeyote atakayependekezwa na chama,
 
Haswaaaaaaaa tunahitaji M4C kwimba na Sumve hawa wabunge wa majimbo hayo wamelala.Mansor wakati wakapeni aliahidi tatizo la maji kwimba atalimaliza ndani ya miezi 3 tangu kuwa Mb lakini sasa ni miezi 22 tangu awe MP wa jimbo la kwimba hakuna chochote alichofanya.Wanakwimba wanajuta kumfahamu huyu tajiri wa visima vya mafuta mwanza
 
Mbunge wa kwimba yaani muhindi mwenye moil si mkaazi wa huko;leticia si mkaazi wa huko,kuna diwani mmoja wa ccm namfahamu anaishi mwanza mjini ila ni diwani kwimba,kazi ipo
 
mhalisi mpiganaji hawezi kuwa Mbunge Tanzania halafu yeye anaishi Marekani, hapo Chadema iliingizwa mkenge.
Bora Letecia anakumbuka na kuulizia taabu za wanakwimba.Mansor anaishi mwanza mjini lakini hakuna alichofanya tangu awe mbunge wa jimbo la kwimba.Kutembelea jimboni mwake ni pale anapopita barabarani tu kwa safari zake binafsi akielekea shy au dodoma au dar
 
Leticia amekuwa anajitahidi sana kuulizia matatizo ya hilo jimbo la Kwimba na amemfunika kabisa mbunge wa kuchaguliwa ambaye ni wa CCM, leo bungeni amemwomba waziri wa maji waende wakaone tatizo la maji, na Kwimba sijawahi ona mkutano wa M4C tokea uchaguzi mkuu.

Namshauri aombe makamanda waende wakaamshe waliolala.

Naunga mkono hoja yako mkuu 100%.
 
Leticia mkazi wa Marekani na kashaenda kufungua tawi la CHADEMA huko kwake. Akija Tanzania kwake Dar es Salaam, Wewe wa Kwimba jaribu kumuomba jirani yako Shibuda aielete hiyo M4C.
 
Wewe matola anaongea ukweli kwani ndio akili yake hapo imefikia upeoooooooooo.Unajua kubishana na mtu hapa inabidi umuulize elimu yake kwanza.Hisije ukapoteza muda wako kwani wengine wapo hapa kupisha sio kupata elimu.Nashukuru wengine wao darasani ,lakini WEWE MATOLA na MATOPE KICHWANI.HAHAHAHAHHA.ONGELEA ISSUES ZINAZOTUSUMBUA WANACHI HAPO TANZANIA.SIO MANENO YA JIKONI.
 
Tanzania ikiwa na watu kama Akina MATOLA basi hata malawi itatupita kama upepo.Nakupa ushauri nenda shule kwanza alafu uje hapa kuongea.
 
Wewe matola anaongea ukweli kwani ndio akili yake hapo imefikia upeoooooooooo.Unajua kubishana na mtu hapa inabidi umuulize elimu yake kwanza.Hisije ukapoteza muda wako kwani wengine wapo hapa kupisha sio kupata elimu.Nashukuru wengine wao darasani ,lakini WEWE MATOLA na MATOPE KICHWANI.HAHAHAHAHHA.ONGELEA ISSUES ZINAZOTUSUMBUA WANACHI HAPO TANZANIA.SIO MANENO YA JIKONI.

Hisije-isije kupisha-kubisha.....habari za huko utakuja lini kuungana na M4C.!
 
mndwadage wasubili wanaodhani wao ndio Chadema haswa watakuja kukujibu, sisi wengine wacha turudi shule kwanza kama nilivyoshauriwa na wenye akili nyingi na Madegree kibao.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom