GeniusBrain
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 4,315
- 306
Kwenye taarifa ya habari ya RADIO ONE ya saa 1 asubuhi ya leo (02.02.2012) . Mfuko wa Maendeleo ya Jimbo la Arusha ulitoa misaada mbali mbali kwa watoto wanaoishi kwenye mazingira hatarishi ambapo mgeni rasmi alikuwa Meya wa mji wa Arusha Gaudence Lyimo. My take : Mfuko wa jimbo huongozwa na mbunge wa jimbo husika, ambapo mbunge wa Arusha mjini ni Mh. G.Lema. Ilikuwaje Mh. Lema amualike meya ambae yeye aliisha sema hamtambui kuwa mgeni rasmi?. Au ndio kusema Mh. Lema ameisha anza kumtambua Meya kidogo kidogo na hivyo kuanza kula matapishi yake mwenyewe?