MH Lema aambiwa KESI HII LAZIMA IKUTIE KIDOLE; Zuberi Mwombeji OCD

Kaambiwa wapi na lini?-tupe source ya taarifa/udaku
Mh Lema, aambiwa kesi hii lazima kesi hii"ikutie kidole" na ndugu Zuberi Mwombeji

My Take;

Maadili ya utwala wa sheria uwapi kama kiongozi wa serikali kama huyu anathubutu kumwambie kiongozi aliyechaguliwa na watu elfu 56 kuwa atatiwa kidole ??? kweli uwapi uungwana uwapi ubinadamu uwapi utawala bora. Mimi Lema sikupendi kwa kukurupuka kwako lakini si ungi mkono kutukanwa kwako.

Zuberi Mwombeji njaa itakuponza shauri yako umeona alipo ishia MAHITA na maborisi wengine kama Zombe shauri yako wewe tumika tu na al- shabaab.
 
Kwanza mtoa mada afafanue kama huyu OCD alimwambia Lema mwenyewe au alikuwa anazungumza
na watu wengine.Na je,huyu mtoa mada alisikia au amehadithiwa?Je,Lema unalijua hili?Tunaomba Mh Lema
utuambie kama ni kweli umeambiwa hivyo uone kama huyu jamaa hataikimbia Arusha.
Mpeni huyo ocd Zuberi muda. Kama yeye ni ocd na kweli amenena maneno haya kwa pablic figure kama Lema basi afute kauli yake la sivyo ataja jutia. Na wakati huyo muda utakuwa umeisha. Mungu amzaidie huyo Zuberi aone mapema matokeo ya kauli yake hii ili aifute mapema kabla hayajamfika mabaya! Ewe ocd haya shime futa kauli yako sasa!
 
Wanaharakati wana changamoto nyingi na ngumu wanazokutananazo. Lema songa mbele Mungu yupo na wewe.
 
Mh Lema, aambiwa kesi hii lazima kesi hii"ikutie kidole" na ndugu Zuberi Mwombeji

My Take;

Maadili ya utwala wa sheria uwapi kama kiongozi wa serikali kama huyu anathubutu kumwambie kiongozi aliyechaguliwa na watu elfu 56 kuwa atatiwa kidole ??? kweli uwapi uungwana uwapi ubinadamu uwapi utawala bora. Mimi Lema sikupendi kwa kukurupuka kwako lakini si ungi mkono kutukanwa kwako.

Zuberi Mwombeji njaa itakuponza shauri yako umeona alipo ishia MAHITA na maborisi wengine kama Zombe shauri yako wewe tumika tu na al- shabaab.

ali shababu wamekujaje tena apo?mwacheni zuberi akae, na afanye kazi zake vyema asa kuwashughulikia watu wenye mtindio wa ubongo kama lema
 
Mpeni huyo ocd Zuberi muda. Kama yeye ni ocd na kweli amenena maneno haya kwa pablic figure kama Lema basi afute kauli yake la sivyo ataja jutia. Na wakati huyo muda utakuwa umeisha. Mungu amzaidie huyo Zuberi aone mapema matokeo ya kauli yake hii ili aifute mapema kabla hayajamfika mabaya! Ewe ocd haya shime futa kauli yako sasa!

Hivi kauli ikisha toka mdomoni inafutwaje???
 
Kwa sababu huu ni mtandao huru, kila 1 analo aliwazalo. Lakini Je! Huko KUTIWA KIDOLE kwa Lema ndo kutapunguza BEI YA SUKARI, KUTAPUNGUZA BEI YA UMEME, KUTABORESHA HUDUMA ZA AFYA, KUTALETA KATIBA BORA????? na Kutatua matatizo lukuki ya kutengeneza chini ya CCM????
Lazima mjue CCM wanatumia kila namna ili kututoa kwenye MADA MUHIMU ZA MUSTAKABALI WA TAIFA - Ikiwasikiliza Kwaheri
 
Kuna mtu anaitwa Mkandara kuna jukwaa kule Sheikh Mohamed Said anamwaga historia, baada ya huyu Mkandara kuona hoja zake zinapanguliwa na hana zaidi, akaamuwa kututusi wote tunaopingana na hoja za kumpinga Sheikh Mohamed Said, akatuambia wote tunatiwa vidole vya macho na Mohamed Said.

Kwa kuwa tunaelewa alikusudua nini na sisi tukamuuliza "vidole tutiwe sisi wewe vukuumie nini?" Akasema yeye havimuumi, tukamwambia Jee, unaham navyo na wewe hivyo vidole? Hajajibu, mwishowe tukavisifia vidole vya Mohamed Said kwa kukandamiza vizuri kutuletea Historia iliyofichwa.

Na hapa huyu aliesema Lema kesi lazima "imtie kidole" hajakosea labda tu ame "summarize". Ni utamu wa lugha ambao si mzuri kimantiki unaashiria kutusi zaidi ya kuonya au kufundisha.

Kiswahili kizuri na huwa kina ladha yake kikitumiwa vizuri.

Hivi na nyie hamkandamizi kwa vidole kuleta hizi mada humu?

Stori gani hiyo iliyofichwa? na wapi huko na sie tujumuike? tunao wajua wazushi.....
 
mh wana JF wapi tuendako,Lema kiongozi wa umma Mwombeji halikadhalika,tunaomba ufafanuzi,hatuwezi kuwa na mkuu wa borisi anayeleta lugha zenye muelekeo wa matusi.Matusi hadharani ni kosa la jinai kisheria,anatakiwa kushitakiwa.Wananchi wa Arusha mwanzoni mliitwa mapanya mkanyamaza sasa tena mh. kama lengo ni kupitisha sheria tuliyolazimishwa na Waiingereza klikuwa na haja gani kwa mh. Membe kutoa misuli ya shingo kulipinga kwa kauli kali.Liko wapi bunge la wananchi mjumbe wake anatukanwa na OCD!
 
If A = B and B = C then C = A

So watu wote tulipmpigia Kura Lema Zuberi katutusi, kudadadeki, ila sisi hatutukani Kama wao, Mungu yupo nasi.

Mh Lema, aambiwa kesi hii lazima kesi hii"ikutie kidole" na ndugu Zuberi Mwombeji

My Take;

Maadili ya utwala wa sheria uwapi kama kiongozi wa serikali kama huyu anathubutu kumwambie kiongozi aliyechaguliwa na watu elfu 56 kuwa atatiwa kidole ??? kweli uwapi uungwana uwapi ubinadamu uwapi utawala bora. Mimi Lema sikupendi kwa kukurupuka kwako lakini si ungi mkono kutukanwa kwako.

Zuberi Mwombeji njaa itakuponza shauri yako umeona alipo ishia MAHITA na maborisi wengine kama Zombe shauri yako wewe tumika tu na al- shabaab.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom