Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,735
Kwa sababu wewe umeshazoea kutiwa vidole ndiyo maana unaona sawa tu.....Sasa kwani Lema kutiwa kidole kuna ajabu gani?
Kwa sababu wewe umeshazoea kutiwa vidole ndiyo maana unaona sawa tu.....Sasa kwani Lema kutiwa kidole kuna ajabu gani?
Unajua maana ya banguo bongo hapo hayapangiki ati?? ushatiwa kidole wewe?? kamanda keshaambi mwaka huu wake ......... sipati picha magazeti baada ya hukumu lema akishindwa yatasomeka hivi ........ LEMA HATIMAYE ATIWA KIDOLE..... JIDOLE LA MUINGIA LEMA..... Ule utabiri wa Zuberi Mwombeji watimia LEMA ATIWA KIDOLE..... LEMA AVUMILIA KIDOLE.... na jinsi waandishi walivyo hiyo itakuwa kiboko. Lema chukua hatua mapema
Kuna mtu anaitwa Mkandara kuna jukwaa kule Sheikh Mohamed Said anamwaga historia, baada ya huyu Mkandara kuona hoja zake zinapanguliwa na hana zaidi, akaamuwa kututusi wote tunaopingana na hoja za kumpinga Sheikh Mohamed Said, akatuambia wote tunatiwa vidole vya macho na Mohamed Said. Kwa kuwa tunaelewa alikusudua nini na sisi tukamuuliza "vidole tutiwe sisi wewe vukuumie nini?" Akasema yeye havimuumi, tukamwambia Jee, unaham navyo na wewe hivyo vidole? Hajajibu, mwishowe tukavisifia vidole vya Mohamed Said kwa kukandamiza vizuri kutuletea Historia iliyofichwa.
Na hapa huyu aliesema Lema kesi lazima "imtie kidole" hajakosea labda tu ame "summarize". Ni utamu wa lugha ambao si mzuri kimantiki unaashiria kutusi zaidi ya kuonya au kufundisha.
Kiswahili kizuri na huwa kina ladha yake kikitumiwa vizuri.
Hivi na nyie hamkandamizi kwa vidole kuleta hizi mada humu?
Sasa kwani Lema kutiwa kidole kuna ajabu gani?
Mods hii thread iunganishwe na thread ya tamko la Lema
Mods hii thread iunganishwe na thread ya tamko la Lema
Hivi huyu Mchaga 25 ndio yuleyule Mwita 25?
Kwa sababu wewe umeshazoea kutiwa vidole ndiyo maana unaona sawa tu.....
Sasa kwani Lema kutiwa kidole kuna ajabu gani?