MH Lema aambiwa KESI HII LAZIMA IKUTIE KIDOLE; Zuberi Mwombeji OCD

Mchaga 25

JF-Expert Member
Oct 29, 2011
464
114
Mh Lema, aambiwa kesi hii lazima kesi hii"ikutie kidole" na ndugu Zuberi Mwombeji

My Take;

Maadili ya utwala wa sheria uwapi kama kiongozi wa serikali kama huyu anathubutu kumwambie kiongozi aliyechaguliwa na watu elfu 56 kuwa atatiwa kidole ??? kweli uwapi uungwana uwapi ubinadamu uwapi utawala bora. Mimi Lema sikupendi kwa kukurupuka kwako lakini si ungi mkono kutukanwa kwako.

Zuberi Mwombeji njaa itakuponza shauri yako umeona alipo ishia MAHITA na maborisi wengine kama Zombe shauri yako wewe tumika tu na al- shabaab.
 
Sasa kwani Lema kutiwa kidole kuna ajabu gani?
 
Hivi wewe Mchaga 25 , hujasoma kuwa hapa JF ni kwa watu makini,wenye kutumia bongo na si kilabu ya mbege?
Soma kanuni
 
heeeeeee wewe vipi kwani nilichofanya kibaya kipi kusema Mh lema alicho ambiwa au ulitaka nikae kimya????
Hivi wewe Mchaga 25 , hujasoma kuwa hapa JF ni kwa watu makini,wenye kutumia bongo na si kilabu ya mbege?
Soma kanuni
 
Kutukana ni kosa kisheria, si mara ya kwanza Zuberi kutukana waziwazi. Kitendo ni rahisi sana... OCD Zuberi anapaswa kushitakiwa, naamini wapigania haki wote wa Arusha waliowahi kumsikia Zuberi akiwatukana na kumtukana mbunge wao wazi wazi wakisimama kwenye kesi hii kama mashahidi Zuberi atatupwa mbali sana hata kama CCM watamtetea.
 
Kuna mtu anaitwa Mkandara kuna jukwaa kule Sheikh Mohamed Said anamwaga historia, baada ya huyu Mkandara kuona hoja zake zinapanguliwa na hana zaidi, akaamuwa kututusi wote tunaopingana na hoja za kumpinga Sheikh Mohamed Said, akatuambia wote tunatiwa vidole vya macho na Mohamed Said.

Kwa kuwa tunaelewa alikusudua nini na sisi tukamuuliza "vidole tutiwe sisi wewe vukuumie nini?" Akasema yeye havimuumi, tukamwambia Jee, unaham navyo na wewe hivyo vidole? Hajajibu, mwishowe tukavisifia vidole vya Mohamed Said kwa kukandamiza vizuri kutuletea Historia iliyofichwa.

Na hapa huyu aliesema Lema kesi lazima "imtie kidole" hajakosea labda tu ame "summarize". Ni utamu wa lugha ambao si mzuri kimantiki unaashiria kutusi zaidi ya kuonya au kufundisha.

Kiswahili kizuri na huwa kina ladha yake kikitumiwa vizuri.

Hivi na nyie hamkandamizi kwa vidole kuleta hizi mada humu?
 
Kuna mtu anaitwa Mkandara kuna jukwaa kule Sheikh Mohamed Said anamwaga historia, baada ya huyu Mkandara kuona hoja zake zinapanguliwa na hana zaidi, akaamuwa kututusi wote tunaopingana na hoja za kumpinga Sheikh Mohamed Said, akatuambia wote tunatiwa vidole vya macho na Mohamed Said. Kwa kuwa tunaelewa alikusudua nini na sisi tukamuuliza "vidole tutiwe sisi wewe vukuumie nini?" Akasema yeye havimuumi, tukamwambia Jee, unaham navyo na wewe hivyo vidole? Hajajibu, mwishowe tukavisifia vidole vya Mohamed Said kwa kukandamiza vizuri kutuletea Historia iliyofichwa.

Na hapa huyu aliesema Lema kesi lazima "imtie kidole" hajakosea labda tu ame "summarize". Ni utamu wa lugha ambao si mzuri kimantiki unaashiria kutusi zaidi ya kuonya au kufundisha.

Kiswahili kizuri na huwa kina ladha yake kikitumiwa vizuri.

Hivi na nyie hamkandamizi kwa vidole kuleta hizi mada humu?

Hapo kwenye nyekundu bi Faizafoxy naona unaonyesha maana halisi ya makusudio yako kwa wanaye muita ati mpiganaji kumbe wote wanajua si ndio hawa hawa maborizi walisema ni jambazi leo tena lina sijui nini vidole halafu sasa kama huyu anawashinda wao je wanafanywaje??? bangua bongo tu
 
Kama lema ana ushahidi namuomba aende mahakamani ili sheria ichukue mkondo wake.

akashtaki kwamba atatiwa kidole na kesi,sasa polisi,prosecuter kazi yake ni kuhakikisha kesi zinawatia vidole watu,advocate kinyume chake kosa liko wapi
 
Hapo kwenye nyekundu bi Faizafoxy naona unaonyesha maana halisi ya makusudio yako kwa wanaye muita ati mpiganaji kumbe wote wanajua si ndio hawa hawa maborizi walisema ni jambazi leo tena lina sijui nini vidole halafu sasa kama huyu anawashinda wao je wanafanywaje??? bangua bongo tu

mkuu panga vizuri mawazo yako!
 
mkuu panga vizuri mawazo yako!

Unajua maana ya banguo bongo hapo hayapangiki ati?? ushatiwa kidole wewe?? kamanda keshaambi mwaka huu wake ......... sipati picha magazeti baada ya hukumu lema akishindwa yatasomeka hivi ........ LEMA HATIMAYE ATIWA KIDOLE..... JIDOLE LA MUINGIA LEMA..... Ule utabiri wa Zuberi Mwombeji watimia LEMA ATIWA KIDOLE..... LEMA AVUMILIA KIDOLE.... na jinsi waandishi walivyo hiyo itakuwa kiboko. Lema chukua hatua mapema
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom