Mh Lazaro Samwel Nyalandu MP Singida Kaskazini

Mh Nyalandu Mb wa Singida Kasikazini ni miongoni mwa wabunge vijana ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano. Nimatumaini yetu sisi vijana wenzako ungeweza tuwakilisha kwa utendaji kazi uliotukuka. Lakini lakini cha ajabu umejikusanyia na kujilimbikizia mali nyingi kwa kipindi kifupi sana. Nadhani wewe ni miongozi mwa wabunge matajiri sana. Una kampuni nyingi za Ujenzi wa bara bara na nyumba zisizo na idadi. Sina shida kama mali hizo umezichuma bila kuhusisha rushwa. Ingependeza kama umeorodhesha hizo mali, ujanja wa kuandika ndugu inaleta shaka kwenye integridity yako na uadilifu.

Nchi yetu ingekuwa na Usalama wa taifa na taasisi ya kuzuia rushwa bila shaka wangekufatilia. Enzi za Mwalimu baba wa taifa Julius Nyerere lazima angekuhoji.

Sina wasi wasi wa Elimu yako,ingawa kuna wasi wasi umechakachua. Hii nimeitoa kwenye kurasa za bunge.

Waldorf University College(U.S.A)BA (Business Administration)19941996GRADUATE
Wartburg University College (U.S.A)BA. (International Business)19961998GRADUATE

Hiyo ya kwanza

Mwaka wa kwanza: January 1994 - December 1994
Mkwaka wa pili: January 1995 - December 1995
Mwaka wa tatu: January 1996 - December 1996

But hii ni presumtion tuu, b'se sidhani kama academic years zinaenda hivyo. Hiyo ya pili, miaka ina utata unless alikuwa anapiga mbili kwa mpigo.
 
Wartburg University College (U.S.A)BA. (International Business)1996
1998GRADUATE
 
eti alimwaga mabilion, ndo mmegundua leo.c mngeandamana kipindi kile asichukue jimbo.sasa mkisema itasaidia nn muda huu.kwanza huu muda mngefanya ya muhimu na sio kudiscuss things which will neva work.Hamna mtu mwenye nafuu this dayz bwana chamsingi nikuweka things in action otherwize hamna lolote. mnafanana tu na huyo mnae msema.ngoja nikauze vitunguu vyangu nipeleke matumizi kwa mke wangu.huko hamna linalojenga.

hushangai kusikia mtu alimwaga mabilioni? Pole sana wewe ndo unafanana naye ila yeye si muuza vitunguu kama ulivyo wewe na vijimatumizi vya mkeo. Hako kaT-shirt cha kijani alokupa wakati wa kampeni ni sehemu ya hayo mabilioni. Kauze vitunguu ukalipe ada ya mwanao.....
 
HUYU JAMAA (LAZARO NYALANDU) NAMFAHAMU VIZURI KWANI NI MBUNGE WANGU. AMEWADANGANYA WAMAREKANI (wafadhili wake) KUWA YEYE NI RAIS MTARAJIWA NA WAMEKUWA WAKIMMWAGIA MAPENE KIBAO KWA MAANDALIZI, SIJUI ATAKUWA WA AWAMU IPI?

JIMBONI KWAKE NJAA TUPU WAPIGA KURA WAMECHOKA ILE MBAYA. WAKATI WA KAMPENI ANATUMIA DHIKI YA WAPIGA KURA KWA KUWAHONGA 'VIJISENTI' NA KUPATA USHINDI WA KISHINDO.

ALIAHIDI KUJENGA UWANJA WA NDEGE KIJIJINI (mtinko) na KUJENGA BARABARA YA LAMI KUTOKA SINGIDA MJINI HADI ILONGERO (km 22) kwa PESA ZAKE.

CHA KUSHANGAZA HAJAWAHI KUZUNGUMZIA MAENDELEO YA JIMBO LAKE KUPITIA BAJETI YA SERIKALI TANGU AINGIE BUNGENI MWAKA 1998.

ANAJIFANYA KUSOMESHA WATOTO WA KIKE LAKINI KWA MALENGO MAALUM. ASIPOFANIKIWA ANAWATOSA.

JAMAA ANAPENDA MISIFA ILE MBAYA. KWENYE SPEECH ZAKE KWA WAPIGA KURA WAKE ANAPIGA STORY ZA MAREKANI TU.

SIFA YAKE KUBWA KULIKO ZOTE ANAPENDA PRODUCTS ZA LUNDENGA ( MAMISS ) VIBAYA MNO.

NAJIANDAA KWENDA KUMNG'OA MWAKA 2015

Nia yako ya kwenda kugombea sio sababu ya kumpakazia mambo yote hayo mkuu...hebu tutajie hao wafadhili wake wa marekani ni kina nani???
  1. toa uthibitisho wa yeye kuhonga wapiga kura maana sidhani kama ni rahisi mtu ahonge jimbo zima.
  2. hizo hadi za kujenga barabara na uwanja wa ndege alizitoa kwenye uchaguzi upi??
  3. hao wasichana aliowatosa baada ya kushindwa malengo yake waliripoti tukio hilo na hatua gani zilichukuliwa?
  4. kama wapiga kura wake wanamchagua kwa story za marekani we chakusumbua nini.
 
Mkuu povu la nini sasa??
 
nia yako ya kwenda kugombea sio sababu ya kumpakazia mambo yote hayo mkuu...hebu tutajie hao wafadhili wake wa marekani ni kina nani???
  1. toa uthibitisho wa yeye kuhonga wapiga kura maana sidhani kama ni rahisi mtu ahonge jimbo zima.
  2. hizo hadi za kujenga barabara na uwanja wa ndege alizitoa kwenye uchaguzi upi??
  3. hao wasichana aliowatosa baada ya kushindwa malengo yake waliripoti tukio hilo na hatua gani zilichukuliwa?
  4. kama wapiga kura wake wanamchagua kwa story za marekani we chakusumbua nini.

see for yourself!!!!!
 
Mh rv,yawezakana unayoyasema yanaukweli ,hofu yangu ukitakiwa kuthibitisha ili kujenga taifa la waadilifu na wapenda maendeleo ukotayari.kama hauko tayali juwa moja jf haipo kwaajili ya umbeya bali ni ukweli na ukweli daima ndyo utaokowa taifa.
 
Mbona unafuka sana pumba kijana! Relax...Nyalandu ni Fisadi big tyme.
 
Kumbe unataka kwenda kuchukuwa jimbo,sasa kama wananchi wanamchagua kwa story za wamarekani wewe utawambia story za wapi ili wakuchangue.
 
Mh rv,yawezakana unayoyasema yanaukweli ,hofu yangu ukitakiwa kuthibitisha ili kujenga taifa la waadilifu na wapenda maendeleo ukotayari.kama hauko tayali juwa moja jf haipo kwaajili ya umbeya bali ni ukweli na ukweli daima ndyo utaokowa taifa.

ushahidi huu hapa:
1. idadi ya T-shirt walizovaa wanakijiji na elfu 5 aliyompa bibi yangu
2. ahadi alizitoa kwenye kampeni ya 2010
3. ukitoa ahadi ya kusomesha ukisitisha ufadhili unashtakiwa wapi? wapo wadogo zetu waathirika wengi tu.
4. kwako story za Marekani ni relevant kwa Jimbo la Singida kaskazini? Be reasonable.....

Do you need more evidence....Ntataja na majina ukitaka.
AU NA WEWE NI MNUFAIKA KATIKA MABILIONI YA NYALANDU?
 
Jamani mtupe ya huko jimboni kuliko huyo mhe.anaendelea kuchaguliwa kwa awamu zote hiz?

Mkuu mimi natoka jimboni kwake. Jamaa hafai hana kitu anachojivunia kwa miaka 12+ tangu aingie bungeni. Wananchi wamechoka kimaisha ile mbaya na yeye anatumia umaskini wa wapiga kura wake kuprevail. Anatumia sumu ya mabilioni
 
Ni ngumu sana kumtetea kwenye hii miaka gongana! kuna harufu ya uchakachuaji

Mie simtetei. Site ya Waldorf University College inaonyesha wana programs za aina tatu. Residential (on campus) programs, online programs na accelerated adult evening degree programs. Sijui if this was the same in 1994. Residential programs ni za miaka mitatu lakini hawana degree ya BA (Business Administration). Sina uhakika kama ilikuwepo mwaka 1994 hadi 1996. Online programs ina Business Administration, lakini degree yenyewe inaitwa Bachelor of Science in Business Administration ambayo ni tofauti na BA (Business Administration). Estimated completion of this course is four years. Sijui kama BA (Business Administration) ilikuwepo ya miaka miwili ikafutwa.

Accelerated adult degree programs addresses "the educational needs of working adults in the North Iowa area. The program is designed to provide adults the opportunity to complete their associate in arts degree and their bachelor of arts degree in business in the evening. Normally classes meet twice a week during four ten-week terms each year. This accelerated format allows working adults to complete their associate's degree in as little as two years and their bachelor's degree in business in four to five years." Wakati huo sidhani kama alikuwa "adult". Hata kama alikuwa adult programs zinadela na arts degrees. Business administration ni art degree?

Hapo fanya analysis.
 
Back
Top Bottom