Fighter
JF-Expert Member
- Aug 30, 2009
- 615
- 152
we sasa unatafuta ugomvi, tumeambiwa alikua smart sana, tena kasoma USA, ilboru na kibaha... hebu acha dharau aisee
Na ugomvi uwe mi nasimama kwenye facts! iyo ya mali na wadada atajua yeye mimi naangalia uwezo wake darasani, napata ugumu hapa sina data za kutosha jamaa aliwezaje kupata division one,nachojua alikimbia science akawa anaimba kwaya kwenda mbele! hakuwaqa mzuri hata 10 best kwenye darasa lao akuwepo nawakumbuka wote.Kitu kimoja kibaha ilikua shule nzuri ata wakawaida shule nyingine ataonekana mkali.