Mh Kenister Mhagama ni mapepe

kajunju

JF-Expert Member
Jun 30, 2011
999
315
Naangalia kipindi cha chereko kinachorushwa na tbc.mtoto wa jenister mhagama anaitwa regina anafanyiwa kitchen party. Mama kageuka mc.had mc kamwambia matron afanye kaz yake kwan mama mtu amekata keki,amewalisha.eti kaka yake na bibi harus mtarajiwa alitaka kuhudhuria kitchen party. Mwanamme wap na wap kwenye ktchn party. Mh komba na muhagama wanakata mauno. Harus kila kitu unawaachia wana kamati wanafanya kila kitu.Hapa tunaonyeshwa nini?tuna wabunge wa aina gani? Hii ndiyo style ya ma-ccm kudandia kila kitu mf. Katiba, ajenda ya ufisad nk?
 
Leo mazingira yalinilazimisha nione hayo unayoyasema. Hakika ameonyesha hamu kubwa ya kuwa kwenye "spotlight" kwa kuongezea alikua anapokea yeye zawadi na kuwakimbelembele kwenye kila tukio. Kwa kifupi HUYU mama Hana busara hata punje. Hutuba yake ni dharau Tupu kwa mkwe wake. Na ndio viongozi wetu. Tunahitaji mapinduzi....
 
Mkuu wenzio wamechanga karata vizuri omba wako nae azamie uko wa mhagama mpwa mumewehapo hana cha kununua harusi kila kitu kwa mwanamke nimeona hizi harusi nawatakia maisha mema inghawa nyingi zinaishia kwenye kiberit na tatizo wanabinti ama wanawali wanapogeuka kuwa viongozi wa familia hapo mwanaume timamu unachukua chako mapema
 
Naangalia kipindi cha chereko kinachorushwa na tbc.mtoto wa jenister mhagama anaitwa regina anafanyiwa kitchen party. Mama kageuka mc.had mc kamwambia matron afanye kaz yake kwan mama mtu amekata keki,amewalisha.eti kaka yake na bibi harus mtarajiwa alitaka kuhudhuria kitchen party. Mwanamme wap na wap kwenye ktchn party. Mh komba na muhagama wanakata mauno. Harus kila kitu unawaachia wana kamati wanafanya kila kitu.Hapa tunaonyeshwa nini?tuna wabunge wa aina gani? Hii ndiyo style ya ma-ccm kudandia kila kitu mf. Katiba, ajenda ya ufisad nk?

una moyo sana wa kuangalia mambo ya kipuunzi na tbc lenu
 
Naangalia kipindi cha chereko kinachorushwa na tbc.mtoto wa jenister mhagama anaitwa regina anafanyiwa kitchen party. Mama kageuka mc.had mc kamwambia matron afanye kaz yake kwan mama mtu amekata keki,amewalisha.eti kaka yake na bibi harus mtarajiwa alitaka kuhudhuria kitchen party. Mwanamme wap na wap kwenye ktchn party. Mh komba na muhagama wanakata mauno. Harus kila kitu unawaachia wana kamati wanafanya kila kitu.Hapa tunaonyeshwa nini?tuna wabunge wa aina gani? Hii ndiyo style ya ma-ccm kudandia kila kitu mf. Katiba, ajenda ya ufisad nk?

Mapepe na wajinga kama ww! Those r personal issues sijui katiba,CSIEmu,CDMA tupa kuleeee! Na personality ya mtu kama ngozi u can't change t immagine angekuwa CDMA ungeandika nn? Be a great Thnker sumtymz
 
Usinichekeshe mkuu na mm niliwatch iyo kitu last wk nadhan leo wamerudia,yan huyu mama ni kiherehere balaa,zawadi anapokea yeye km ye ndo biharusi,kali zaidi ile speech ya kitchen party.huyo mkwe namuonea huruma mbona mama mkwe kapata....
 
Everyone anayo personal life yake. Huwezimkemea mtu kwa kusherekea arusi yA mwanae the way apendavyo. Hayuko Bungeni wala haihusu jimbo. Ni sawa na kuja kumsema mbunge kwa namna anavyomkunja na kumkunjua mwenzi wake katika tendo la ndoa!!
 
jinsi alivyomtosa yule mzee wa Tanroad aliyemsaidia kwenye kampeni za kwanza sina hamu nae
 
Zamani tuliambiwa kitchen party wanaruhusiwa kuhudhuria wanawake tu, naona siku hizi zinaonyeshwa kwenye runinga. Au ulimaanisha send-off party?
 
Mwali wewe ungeona hii kitu ungekwazika. Binti alijazwa dharau na mashauzi. Kanunuliwa ka-lcd sijui ka inc 17 kale, mama anamuambia 'tumekupa tv, ukifika kwa mumeo ukikuta hakuna tv au hakuna tv bora kama hii unatoa ya kwako uangalie'
Mama kila kitu 'nimekununulia, nimekununulia...' Alinikumbusha couples kila mtu anasema 'nyumba yangu this, gari langu that...'. Kafundishwa dharau tu, kama za kuchanganyia hamna, mweh!
Everyone anayo personal life yake. Huwezimkemea mtu kwa kusherekea arusi yA mwanae the way apendavyo. Hayuko Bungeni wala haihusu jimbo. Ni sawa na kuja kumsema mbunge kwa namna anavyomkunja na kumkunjua mwenzi wake katika tendo la ndoa!!
 
Kama haitoshi akasema, 'sisemi haya kwa utajiri nilionao...' LOL.....anyways,ya kaisari tumuachie mwenyewe kaisari jamaani..yeye kaamua kujifafanua mbele ya mwanae,tumuacheni...
 
"Hii ndiyo style ya ma-ccm kudandia kila kitu mf. Katiba, ajenda ya ufisad nk?" ....CCM INAHUSIKAJE KATIKA HILI?
 
Back
Top Bottom