Mh. Jk muamuru Magufuli ajenge nyumba alizobomoa!!

JoJiPoJi

JF-Expert Member
Aug 8, 2009
2,907
3,261
Mh Rais kwa heshima na taadhima naomba nichukue fursa hii kukupongeza wewe na waziri wako mkuu kwa kitendo cha kumdhihaki na kumvunjia heshima Mh. Magufuli,
Kwakuwa mmeonyesha wazi kuwa hampo katika kusimamia sheria za nchi hii ambazo mliapa kuzilinda na kuzisimamia nawaombeni sasa mtumie tena ile huruma yenu kwa wananchi mumuamuru bwana P Magufuli afanye awezalo ili kuhakikisha zile nyumba zetu tulizobomoa kwa amri yake wizara yake izijenge haraka iwezekanavyo na hizi X zilizowekwa na watendaji wake nazo zifutwe mara moja kwa kuwa ziliwekwa bila huruma,
Nakupongeza sana Mh. DR DR DR JK

KIONGOZI ALIYEINGIA MADARAKANI BILA KUFUATA SHERIA
HAWEZI KUZISIMAMIA SHERIA WALA KUZILINDA
AIBU SANA KWA TAIFA HILI
 
Well said
 
u hv spoken ma mind
be blessed
 
Kabla sijafika mwaisho wa thread yako nilishtuka lkn baadaye nikalipata wazo lako, bravo kaka.
 
I feel ashamed to have a leader like him.... He don't think twice. Yupo ki taarabu taarabu tu! :smash:
 
Nimekusoma kamanda.

Rais ni mweupe kichwani. Hana uwezo wa kufikiri mambo ya msingi .... he just wanted the title ila sio majukumu.

Mwanaume mzinzi uwezo wake wa kufikiri ni finyu always.
 
Huruma, huruma, hurumaaaaaaaaaaa! I hate sometymz huruma inavyotumika vibaya.., maana now watu wataanza kuvunja sheria kwa kutegemea huruma iwapitie..!
Shame on whoever do huruma wrongly startin wt him, YES I MEAN HIM..!!((
 
Muandikie tu kiofisi zaidi, address hii hapa:-

President's Office,
Magogoni Road,
P.O. Box 9120,
Dar es Salaam.
 
ataisoma tu hapa hapa, barua inaweza ikamfikia baada ya muda wake kuwa madarakani kuisha
 
Mwisho wa siku tutakuwa na nchi ya wavunja sheria kwa ujinga wa (waonee huruma.) Biblia inasema kataeni yaliyo maovu. Ningekuwa Magufuli ningeachia ngazi right away. maana kama wakubwa hawataki kazi unayofanya unakuwa unayofanya una njia mbili za kufanya. ama uondoke au ufanye wanavyotaka wao. Na wanavyotaka wao sio sahihi.
 
Ni kweli nchi inaongozwa na watu! Lakini siyo kwa tumia akili zao tu,....inchi inaongozwa na sheria. J.K Nyerere. .....dhambi ya ubaguzi ni kama kula nyama ya mtu....kwenye mafisadi alitumia huruma au ubinadamu au sijui nini....akawaaimbia warudishe pesa....leo kwenye sheria za barabara ...kesho sijui itakua nini.
 
Mi tangu awali kesi ya samaki, sikumsifu Magufuli.
Baada ya ukamataji hakuwa na ubavu wa kudhibiti gharama za utunzaji hao samaki, hivyo ikamsababishia mwananchi mlipa kodi malipo zaidi ya utunzaji.
Kipindi hiki baada ya kuagiza watu wavunje nyumba zao, na baadhi kuvunjiwa na timu yake. Uvunjaji umesitishwa, Yeye Magufuli hana uwezo wa kufanya maamuzi ya gharama.
Yuko kama mnafiki furani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom