Mh jk hili la kuliangalia tena

kibwengomwitu

Member
Dec 19, 2011
6
0
Nimefuatilia kwa ukaribu sana na nimegundua kila ifikapo mwisho wa mwaka skukuu ya Christmas serikali hutoa fungu kwa wizara zake tofauti kwa ajili ya maandalizi ya skukuu hiyo kwa kukodi wazabuni kwa ajili ya kupamba ofisi za serikali na kutoa posho kwa wafanyakazi wote ni jambo zuri ila kwa nini skukuu ya Ealdifitri halitolewi fungu kama hili kwa mapambo na posho za wafanyakazi?.Na hili fungu linatoka katika bajeti gani ambayo inahusu skukuu ya dini moja tu Mh wewe muislamu kwa nini hupendi maendeleo yao au ndio kujikomba usipendelee toa haki sawa kama umeshindwa wacha kote.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom