Mh. JK, baada ya EPA, Je na hili la TAKOPA halikuhusu?

[/I][/B][/COLOR]
Ndugu jaribu kufikiri kwa kutumia akili na si vinginevyo,toka lini rais wa nchi akanunua mashine za kutendea kazi serikalini?Inaonekana wewe shule hukwenda au kama umekwenda basi umepita tuu kama Sumaye.Nyerere hata mara moja hajajihusisha na ununuzi wa kitu chochote wakati yeye mwenyewe alikuwa anashangaa mabarubaru kutaka kukimbilia ikulu na kuuliza huko kuna biashara gani?Tafadhari andika kitu kilichokwenda shule ila kama unataka kuongeza post zako tuu hata kwa pumba endelea.Hapa ndio JF kwenye watu wenye bongo bwana,teh teh tee.

Mkuu Pengo taratibu tutafika hivi Mkapa hakuwa rais mbona alifanya biashara na amekiri mwenyewe kwani ni ajabu gani tukisikia JK naye yumo how clean is he na biashara siku hizi si lazima mwenyewe ubebe pesa mkononi unaweza kufanya biashara kwa influence uliyonayo

ni kweli 82bil zililipwa zote kwa awamu mbili Feb.1 2009 na July 16,2009 nyingi zimetafunwa na wajanja wa mjini wakorea wanataka kujitoa kwa ubabaishaji wa huyo ndugu yake mkulu na wenzake hatuwezi kuwatofautisha kama tusivyomtofautisha Kingunge na watoto wake waliokuwa wanatafuna kodi za Ubungo bus terminal
 
Back
Top Bottom