Mh! Jamani hivi wote wako hivi au huyu wangu tu???!!!

Sajenti

JF-Expert Member
Apr 24, 2008
3,651
412
Niko kwenye mahusiano na mdada wa miaka 28, uhusiano wetu sasa una takribani miezi 9. Kimsingi tumekuwa sawa kwa muda wote lakini kuna kitu kimoja ambacho kwangu kinanishangaza kuhusu huyu mpenzi wangu. Kila ninapotaka kufanya nae mapenzi muda ambao kwa kweli hata akili nimeshai-tune kula mzigo utasikia anakwambia " ah! subiri kwanza mi nilikwambia nataka simu mbona hujaninunulia?" au mi nina shida ya hela nataka kununua kitu fulani mbona hujanipa?...Hii hali kwa kweli siipendi kabisa na hunipotezea kabisa stimu. Mwanzoni nilidhani huenda ndio alivyokuwa kabla sijakuwa naye na nikajaribu kumueleza vizuri tu kuwa kila kitu kina muda wake ili ajirekebishe. Tukiwa kwenye love basi wote tuwe hapo hayo mambo mengine nayo yana muda wake....ataelewa kwa muda lakini baada ya wiki hiyo kitu inajirudia sijui tatizo nini???
 
hamna mapenzi hapo..
Unagharamikia ngono tu.... Shtuka kabla hujaumizwa moyo
 
Inajirudia kwa sababu unakuwa hujamtimizia anachotaka...
 
Mkuu bora hata huyo anasubiri kwanza kabla hujafikia kilele ndo alete maombi yake maana wengine huwa wanasubiri ile point ya no return then wanawakilisha maombi yao.

jaribu kumuelewesha kuwa yeye ni mpenzi wako na unajua mahitaji yake na kama mnapendana ajue kuwa utamtimizia kile ambacho anataka kwa wakati huo na asiwe na wasi wasi wewe ni wake so mahitaji yake unajipanga utayatimiza
 
ploe sna je wewe huwa unampa masahrti yoyote?au tatizo ni muda anaokumbushia?na kwa nini huwa haumtimizi mpaka akukumbushe?labda yeye huo muda wa stimu ndo anona muda muafaka kuchombezea shida zake!ni suala la kuelewana zaidi na kuwa muwazi,km anakuomba kitu ambacho unajua hautaweza kumtimizia ni bora kusema Ukweli katika namna nzuri siyo kumdanganya ukadhani atasahau kumbe nooo,wanawake wapo very sensitive ktk promise eeh
 
hapo umenena ndugu....ila tabia ya kukumbushia wakati wa kutiana sio kabis
 
Huyu amekaa kiuchumi zaidi na anatumia vizuri kitegauchumi chake!
 
Kumbe braza unataka vya bure kwani mkeo huyo? Nasikia hata kwa waliooa kuna wakati shem anachoka kutoa bure anampa mhusika invoice.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom