Mh Iddi simba ataacha lini kuwaibia watanzania..jeuri ya nani inampa kiburi?

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,954
22,125
Unajjua kuna wazee tangu unasoma unasikia wameitia hasara serikali na mpaka leo tumeoa
tuna wattoto na wengine wajukuu bado wanaendelea kuitia hasara serikali hawa watu wanapata wpi hiko kiburi cha kutuibia
iddi simba kwa mnaokumbuka alituingiza mkenge na issue zake zilizofichuliwa na mrema augustino ..sasa bado mkampa uda jamani nyie kuna watu wanakulal nae nimesoma mada ya mwanakijiji lakini inabidi huyu bwana abanwe vizuri jamani aeleze hizo hela zilikuwa zinaelekea wapi ama ndio kwenye ile nanii yake ya kukopa na kulipa inayowafilisi wamama wa mtaani kila siku sijui wanaiitaje iko pale magomeni..na aeleze faida ya hizo hela zimeenda wapi ..na kwa nini asifungwe..
 
Ili iwe vigumu zaidi kufanya uwizi kama huu inabidi vyombo vinavyo simamia corporate governance na regulation nchini viwe vikali/imara zaidi. Kuhusu hili inategemewa kuwa vyombo husika vitatamka mara moja culprits kwenye bodi ya UDA ni nani na kuchukua hatua kali mara moja pamoja na kusema kwa mfano kuwa culprits ni unfit to be Directors in a public company. Pia tunategemea Central Bank/Benki Kuu itafuatilia kwa karibu swala hili la UDA acquisition maana kuna (ex?)Directors katika UDA ambao ni Directors ktk makampuni yanayosimamiwa na BOT. Kwa hiyo basi tunategemea kuwa BOT pia itachukua hatua za haraka kusitisha ukurugenzi wa culprits ktk bodi za makampuni ambayo ni regulated na BOT ili kuzuia tabia mbaya/chafu kama hizi ambazo zinaharibu sifa za financial markets zetu changa. Tunaamini kuwa Gavana wa sasa ambaye ni msomi wa kweli atadhihirisha umakini wake kwa hili ili watu wote waelewe kuwa yeye ni tofauti kabisa na predecessor wake - (hayati?)Daudi Balali.
Kuhitimisha tuwapongeze waliofichua hili ikiwa ni pamoja na wabunge husika.
 
Hivi Idd Simba ana uhusiano gani na sofia Simba au mtoto wake nini..mana huyu mzee kiburi kama sofia simbaHivi Idd Simba ana uhusiano gani na sofia Simba au mtoto wake nini..mana huyu mzee kiburi kama sofia simba
 
Jamari nchi inatawaliwa na utawala wa sheria.Mahakama imemuachia huru,maneno ya nini?
 
Back
Top Bottom