mh huyu profesa....

sugi

JF-Expert Member
Feb 12, 2011
1,392
292
katika orientation kwa first year muhimbili,profesa wa pathology alikuwa na wanafunzi wake!
Profesa"katika pathology,unatakiwa uzingatie vitu viwili"
Wanafunzi"vip hivyo?"
Profesa"1st,uwe makini sana,2nd,usiwe muoga"
Akawapeleka mochwari,akachomoa maiti moja akaingiza kidole fasta kwenye nanihii akaramba,huku wanafunzi wakiwa wameduwaa.
profesa"john unaweza kufanya hivyo?"
John,kwa kujikakamua akatia kidole naye akaramba
Profesa"kwa mfano hapo nani aliyeona kuwa nimeingiza kidole kingine na kuramba kidole kingine?muwe makini vijana."
 
Back
Top Bottom