Mh! hebu nijuzeni wenye uzoefu......Nimeulizwa swali.

Nawajua sana na ndio maana huu uzi nikauweka usiku huu mnene, weshalala saa hizi si unajua ngoma ya watoto huwa haikeshagi.... kina cacico, Yummy, charminglady, nivea, mwanangu mwenyewe King'asti, duh, kuna huyu lara 1, hafai kabisa, Ciello na wale wakuda wenzao saa hizi wako chali weshalala kitaaambo...LOL

Nani kalalaa! Hahahaaaa! Watu wanabanjuka tu na wenzao, mi ndo nachungulia nilale sasa!!!
 
Nani kalalaa! Hahahaaaa! Watu wanabanjuka tu na wenzao, mi ndo nachungulia nilale sasa!!!
Binti una kiherehere weye.............
Ngoja niongee na Mods waondoe huu uzi maana ishakuwa tabu......LOL
 
Me nafkiri watu watofautiana wengine inachukua mda but wengine ndani ya mwezi mmoja na nusu wanakuwa fit lakini enjoyment ya game mama huwa hapati sababu kisaikolojia fikra zake zote zipo kwa mtoto..
 
Mtambuzi we mzee mbona mwanga hivo, yan sie tumelala unakuja tuchungulia. haya nimesikia waniita, nimekuja sasa sema usikike!
 
Last edited by a moderator:
lol!@Mtambuzi na Young Master siamin madongo mlonipa ,et nimelala na cmu mkononi wanikumbusha utoton nilikuwa nakula huku nimelala, kuhusu swal lako cna majibu ngoja wenye maujuz waje wamwage sera!
 
Last edited by a moderator:
Hali ni tete hapo kusubiri na kuvumilia ukame tusidanganyane kama ni wewe au ni jirani yako mi sijui wewe ndo unaejua tafuteni njia mbadala tuu
 
Najua kwa kawaida huchukua wiki 6 kama ilikuwa kwa njia ya kawaida, lakini sijajua kwa cesarean section huwa inachukuaga wiki ngapi before resuming …………………………………………….

Hili swali nimeulizwa na jirani yangu leo hii, anaomba msaada tafadhali…………LOL
jirani my fooot!
mzee mzima umekamatwa!ahahahahhaahhahahhah pole sana mzee mwenzangu hizi nenge za uzeeni hizi mbayyyaaaaaaaaaaaaaaaaah!kha ukijumlisha na mkwara uliopigwa kwa kisirani cha tumbo lazima uulize lini inakuwa poa
halafu kwa taarifa yako kwa kawaida ni siku 21 tu!yani 21 tu kitu mwake!kazi kama kadawia! ila kwa operation sina hakika manake mi wangu nimepush mwenyewe wote!ngoja wataalam wakujuze!
eti nimeulizwa na jirani yangu!ahahahahahahha
 
Nawajua sana na ndio maana huu uzi nikauweka usiku huu mnene, weshalala saa hizi si unajua ngoma ya watoto huwa haikeshagi.... kina cacico, Yummy, charminglady, nivea, mwanangu mwenyewe King'asti, duh, kuna huyu lara 1, hafai kabisa, Ciello na wale wakuda wenzao saa hizi wako chali weshalala kitaaambo...LOL

kwa jinsi ulivotaka tusijue hili swali hili hata hukutaka kututaja mimi na shosti wangu Madame B na ndo tushajua na vipande vyako tunakubabatiza tuu!ahahahhahahhahha BAK huna wimbo wa king kiki KITOTO CHAANZA TAMBAA ahahahahhah sasa tatizo Mtambuzi anataka hata kabla kitovu hakijakaula kha!mzee mbayaaaaaaaaaaaaaaaaah wewe!
 
....yaani anataka adabolishe?
Mtambuzi hebu muache mama Ngina ajiache kwa raha zake.
Cha kumrukia mabreka wakati hata nyuzi hajatoa inahuu..!!!
Muache babu we Mtoto wa kike ajilie mchemsho wa kuku wa uzazi.
Nipishe mie nipite!!
snowhite mwambie atulie,tena apige kimya mpaka mshono upone.
 
Last edited by a moderator:
Miezi 18...!
Duh, yataka moyo aisee...................
couple-in-hotel.jpg
sijui nimkabe huyu mpuuzi?
 
Duh.... haya mashambulizi mzee mzima Mtambuzi inabidi siku nyingine ukiombwa ushauri na jirani yako upime upepo kabla hujakuja hapa kuomba maushauri, sasa unaona wadau walivyoweka kambi nyumbani kwako? hahahaha kazi unayo
 
Last edited by a moderator:
Duh.... haya mashambulizi mzee mzima Mtambuzi inabidi siku nyingine ukiombwa ushauri na jirani yako upime upepo kabla hujakuja hapa kuomba maushauri, sasa unaona wadau walivyoweka kambi nyumbani kwako? hahahaha kazi unayo

NA BADO WALA HATUONDOKI !kama mie ndoa nipo hapa hapa usawa wa dirisha ,manake hachelewi kuomba japo maji ya kunywa!ahahahhahahha sipati picha akiwa anabembeleza hiyo miwani mbona inawekwa pembeni !mama ngina komaa mwanzo mwisho mi nilijua tu huyu mzee sio mwenyewe ndo mana zile pongezi zangu nilizitoa kwa angalizo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom