Mh! Hawa sasa wamepitiliza.

Ndibalema

JF-Expert Member
Apr 26, 2008
10,956
4,648
pikipiki2.jpg
 
Duh hawa ni more than kupitiliza, tuite mshikaki au sijui ndio tuite nini?
 
Mi naona kama huyo mtoto ndani ya ndoo ni photoshop au !!!

Kama ni kweli basi huo mshikaki ni wa ukweli !!!
 
Mi naona kama huyo mtoto ndani ya ndoo ni photoshop au !!!

Kama ni kweli basi huo mshikaki ni wa ukweli !!!

yaah hata mie nahisi hivyo maana kwanza hajavaa nguo wakati watu wazima wamejivalisha mikoti kujikinga na upepo.ila hii ni mishikaki ya ukweli!
 
Hili haliwezekani na likiwezekana ni hatari sana. Halafu ni unyanyasaji wa watoto.

Duh!
 
yote maisha si Afrika tu kwenye matatizo na ufumbuzi wa muda mfupi tu; hata wenzetu wamo
 
Ama kweli China wanafanya mambo zaidi ya simple! Hii mishikaki! du!
 
Hao ni wakimbizi kutoka nchi gani? machafuko yametokea wapi hata wakajisomba hivyo kuokoa roho zao?
 
Huyo mtoto aliebebwa na mbereko picha imetengenezwa angalia mbeleko ikifika shingoni mwa mama na huyo wa ndani ya ndoo pia hayupo pichani ndoo ina mfuniko.
 
pikipiki2.jpg


Ndibalema

Hii ni nchi gani?,
Kama ni mishikaKI hii ndiyo ya ukweli, lakini bado siamini kama hii inawezekana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom