Mh Godbless Lema amjibu Tendwa

I have never ranked Tendwa high! Mimi ninajiuliza hata huo U-JUDGE aliupataje? au ndiyo ainadhirisha ule msemo kwamba CCM is a mental disease? Once you're a CCM zealot your thinking and reasoning capacity approaches ZERO!!.

Yaani "Wazee" wanapanga kufanya JINAI, tena JINAI ya kutoa ROHO ya mtu, mbele ya Kiongozi Mkubwa, Msajili wa vyama vya SIASA, tena mwenye Cheo cha U-JUDGE (Kama kweli ni judge, maana wajita kila mtu ni JUDGE), badala ya kwenda kutoa report POLICE ili kuzuia hiyo JINAI isitendeke JUDGE mzima na k.o.r.o.n.d.a.n.i zake anakwenda kuropoka kwenye vyombo vya habari? Hivi kweli huyu anayejiita JUDGE alipass hata hiyo LLB 101? Au ndiyo wale ma-JUDGE wa Kijita?! YEGO JAJI
Kama ma-Judge tulionao nchi hii ni wa aina ya akina Tendwa no wonder mahakama zetu zimeshindwa kutenda HAKI. Huyu Tendwa kama angeletewa kesi yaina I suspect angetoa SUMMARY DISMISSAL kwamba Lema ameuawa kwa KIHEREHERE chake kwasababu alionywa hakusikia.

Ruling za aina hii is ONLY POSSIBLE IN TANZANIA.

Napenda kumwambia lema akiuawa atawaonesha wauaji mana anawajua
 
Unamshangaa Tendwa? mtu mwenyewe mteule wa jk, rais na mwenyekiti wa ccm ambayo wazee wake ndo wametoa tamko/kutishia kuua kwa maneno? u cant be serious mkuu.utashangaa pia Andengenye ama OCD/Oc cid wa eneo husika watakavokaa kimya bila kufungua jalada ama hata PE dhidi ya hao wazee, nadhani hawana tofauti na wale wa Dar ambao JK huwa anawaita na kupiga nao soga
 
Tendwa alilevywa na nini haswa mpaka ashindwe kupambanua jambo rahisi kama hilo haswa kwa mtu mwenye nafasi kama yake?

Mbona anakuwa kama bush laywer huyu na kudhalilisha kabisa tasnia ya sheria kwa sababu tu ya ushabiki wa chamba kinachoweweseka kushindwa uchaguzi? Ajue anatumika vibaya na ili aheshimika asimamie vema professional yake na kutoa kauli za kisomi na siyo na watu wanaoishi porini kusiko na sheria
 
Tendwa tumsamehe bure japo anafahamu anachokifanya,hayo yote anayosema ni dalili za wazi kwa mabwana zake ccm kushindwa kwenye huo uchaguzi.CCM wangekuwa na uwezo wa kuonana na Mungu wangempigia magoti na kumwomba ahairishe vifo kwa wabunge wake kwa kuwa hali kwa upande wao ni mbaya hasa wakichungulia matokeo ya Igunga.
 
Kwanza najitokeza tena nikiwa majeruhi kwa kupigwa ban siku 8.nasikitika mkuu wa upelelezi wa makosa ya jinai bw Manumba kutolitolea tamko matamshi ya Msajili wa vyama vya kisasa Nchini bw John Tendwa ambaye amekiri kukutana na 'watu'! wa jimbo la arumeru waliotamka mbele yake kuwa watamuua Mbunge wa Arusha Mjini Kamanda Godbless Lema.Ni dhahiri Tendwa ana ushahidi wa watu wanaomtishia lema maisha kila siku,THANX god kuwa wana arusha tumepata pa kuanzia kwani Tendwa kama aliambiwa ivo meru angepaswa kuripoti polisi dhidi ya haki ya mtu kwenda popote bila kubughudhiwa.WANA ARUSHA MJINI TUNATOA TAMKO KUWA POPOTE KAMANDA LEMA AKIDHURIKA HAKIKA TUTAKUBURUZA KORTINI KWANI UTAKUWA UNAWAFAHAM WABAYA WAKE!
 
mie nadhani ingekuwa busara kama tendwa angewakemea hao washiri.. na angewaeleza hawana mamlaka kisheria kumzuia m2 yeyote kwenda arumeru.. na haya mambo ya kuwatisha wa2 ati wameru ni wa2 wa fujo.. ati cijui walitaka dayosisi mpaka wakapewa ni ya kitoto.. tendwa ana2mika kwa hili kama anavyo2mika kwa mengine.. kama ikitokea lema akafanyiwa fujo na damu kumwagika.. hakika itakuwa juu ya tendwa & his Co.. :shock:
 
MSAJILI WA NYAMA JAJI (rtd) AMEDHIBITISHA KUWA MAISHA YA MBUNGE WA ARUSHA GODBLESS LEMA YAKO HATARI NAMTAZANIA HUYU AMAEPIGWA MARUFUKU KUKANYAGA JIMBO LA UCHAGUZI ARUMERU.

HAYA NI MAKOSA YA JINAI NA KINYUME CHA KATIBA SHERIA HIZI HAPA POLISI WANASUBIRI VURUGU AU MTU AFE ANDIO WACHUKUE HATUA? SHAIDI NUMBER ONE WAHII JINAI NI MSAJILI VYAMA VYA SIASA

214. Written threats to murder
Any person who, knowing the contents thereof, directly or indirectly causes any person to receive any writing threatening to kill any person is guilty of an offence and is liable to imprisonment for seven years.

[PCh1. Conspiracy to murder
Any person who conspires with any other person to kill any person, whether that person is in Mainland Tanzania or elsewhere, is guilty of an offence and is liable to imprisonment for fourteen years.

381.Attempt to commit offences

Any person who attempts to commit an offence is guilty of an offence for which, unless a different punishment is provided, he is liable to imprisonment for two years or a fine or both.
 
Kwanza najitokeza tena nikiwa majeruhi kwa kupigwa ban siku 8.nasikitika mkuu wa upelelezi wa makosa ya jinai bw Manumba kutolitolea tamko matamshi ya Msajili wa vyama vya kisasa Nchini bw John Tendwa ambaye amekiri kukutana na 'watu'! wa jimbo la arumeru waliotamka mbele yake kuwa watamuua Mbunge wa Arusha Mjini Kamanda Godbless Lema.Ni dhahiri Tendwa ana ushahidi wa watu wanaomtishia lema maisha kila siku,THANX god kuwa wana arusha tumepata pa kuanzia kwani Tendwa kama aliambiwa ivo meru angepaswa kuripoti polisi dhidi ya haki ya mtu kwenda popote bila kubughudhiwa.WANA ARUSHA MJINI TUNATOA TAMKO KUWA POPOTE KAMANDA LEMA AKIDHURIKA HAKIKA TUTAKUBURUZA KORTINI KWANI UTAKUWA UNAWAFAHAM WABAYA WAKE!
 
Kweli huyu Tendwa 'yego jaji' badala ya kuwahi polisi anamuita akawaombe msamaha wauaji? Tendwa kweli ametendwa huyu..muombeeni!
 
Kila chaguzi CCM wanaingia na WRONG tactics ambazo huacha makovu makubwa sana kwa wananchi baada ya uchaguzi. Tendwa katumwa na CCM lakini anajikuta akiwagawa wana Arumeru... Ndio madhara ya kuwa na viongozi legelege

Mkuu kama bado unayo kumbukumbu nzuri mbinu hii ya kutumia wazee wa kimila ilitumiwa sana na KANU huko Kenya. Mfano mzuri ni wazee wa kabila la Kalenjin alikokua anatokea rais Moi,walikua wanatoa amri kwamba Rift Valley ni ngome ya KANU,wengine hawaruhusiwi kukanyaga! Kadri umaarufu wa CCM kisiasa unavyozidi kupungua tutaona na kusikia machafu zaidi ya haya. Lakini mwisho hiki chama kitaondolewa madarakani na kitakufa kabisa kisiasa.
 
Napata wasiwasi na uwezo wako wakuchambua mambo, ni mdogo mno kuzidi hata punje ya mchanga !
Kwani uwezo wako ni wa kiwango gani?
Je umeweza kuchambua misingi ya kauli/sentesi za bwana Tendwa?
Kama umechambua umegundua nini kama mtu mwenye uwezo?
Kazi za msajili ni kusajili na kulea sasa kwenye chaguzi anatokea wapi? au je amekuwa sehemu ya tume ya uchaguzi?
Hivi kama wewe uwezo wako wa kuchambua mambo ni wa kiwango cha juu, kwanini usijiulize kauli kama hiyo mbona jeshi la polisi liko kimya? Au kwa anayetishia kuua kwa kimila si kosa?
mara ngapi bwana GB umesikia watu wakifikishwa polisi kwa tuhuma za kutishia kuua?

Nakuomba kwa niaba ya wana jamvi utuchambulie tusio na uwezo ili tupate kuelewa kiundani zaidi..
 
Hivi inakuwaje watu wanatishia kuua tena mbele ya Jaji wanaachwa uraiani?! kama kweli hao wazee wametishia kuua basi wakamatwe mara moja la sivyo tutafahamu kuwa Tedwa ndiye aliyewawekea maneno vinywani mwao kuitafutia CCM ushindi wa vurugu!!!!
 
Nashangaa sana watu wanavyomsema vibaya Masaburi aliposema kuna watu wanatumia MASABURI ooops makalio kufikiri.....
 
Back
Top Bottom