Mh.Gaudensia kabaka na Dr.Makongoro Mahanga

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,890
Napenda kutumia huu mtandao mashuhuri nchini Tanzania wa jamii forums (JF) kufikisha malalamiko yangu kwenu.naamini kabisa hata wamiriki wa mtandao huu (JMCL) watanisaidia kuwafikishieni taarifa kama hamjapata mda wa kusoma hapa.
Mdongo wangu ameajiriwa TAESA hapa dar ambayo ipo chini yenu,na ameanza kazi tangu 7/2/2011.ametoka kanda ya ziwa,lakini tangu aanze kazi hajapewa hela aina yoyote ya kujikimu wala mshahara hadi sasa ninapo andika.jibu linalotolewa ni hajaingizwa kwenye system.naomba msaada.
 
hahahaaaaaaa,
jina lake halipo kwenye kompyuta?mbona hayo mambo ni ya kawaida tu mazee!!!!!!awe na uvumilivu tuuu,hata baadh ya mawazir na majaj wanaish hotelin coz nyumba hamna,
lakin mfanyakaz wa kawaida nch hii ana wakat mgumu
 
hayo kwa bongo ni mambo ya kawaida sana mkubwa!

sijui kama kabaka na makongoro mahanga wana muda wa kusoma malalamikomyako. mawairi wako busy labda ungewaita kwenye semina au washa kidogo wangekusikia. Hata hivyo tupe jina kamili tujaribu kuwapa habari wahusika
 
Tusaidie jina kamili na namba yake ya kuajiliwa

nadhani kuweka jina na namba yake ya kuajiliwa hapa janvini nazani haitakuwa si njia sahihi.lakini kwa kuwa kuwa unahitaji kusaidia wasiliana na mkurugenzi wa taesa utapata majina ya watu walioajiliwa mwezi wa pili.ofisi zao zipo pale akiba.karibu na chuo cha cbe.ntaku pm mkuu.
 
basi andika barua ya complaint na umuone mahanga in person, he is a very approachable guy and i am sure you will be served

Vipi umeenda na tumeajiri kujua wakuaidieje??
 
Huyu Mahanga hana Doctorate kwanini bado watu wanamuita "DR".Acheni kudhalilisha taaluma za watu!
 
basi andika barua ya complaint na umuone mahanga in person, he is a very approachable guy and i am sure you will be served

Vipi umeenda na tumeajiri kujua wakuaidieje??

hadi hapa nafikili hamna haja ya kumuandikia tena Makongoro.naamin JF ndo kila kitu na ujumbe kaupata kama siyo yeye basi basi msaidizi wake.halafu hilo swali lako la mwisho sijalielewa.umesemaje?
 
Back
Top Bottom