Mh. Freeman Mbowe awe Kiongozi Mkuu wa upinzani bungeni

Kwa mujibu wa Bunge website
PHOTO
FULLNAME
CONSTITUENT
POLITICAL PARTY

GODBLESS JONATHAN LEMA
ARUSHA MJINI
CHADEMA

ISRAEL YOHANA NATSE
KARATU
CHADEMA

JAMES HALIMA MDEE
KAWE
CHADEMA

JOHN JOHN MNYIKA
UBUNGO
CHADEMA

REV. SIMON PETER MSIGWA
IRINGA MJINI
CHADEMA

ANTONY GERVASE MBASSA
BIHARAMULO MAGHARIBI
CHADEMA

MUSTAPHA BOAY AKUNAAY
MBULU
CHADEMA

Vincent Josephat Nyerere
MUSOMA MJINI
CHADEMA

KABWE ZUBERI ZITTO
KIGOMA KASKAZINI
CHADEMA

OSMUND JOSEPH MBILINYI
MBEYA MJINI
CHADEMA
Records 1 to 10 of 22
PHOTO
FULLNAME
CONSTITUENT
POLITICAL PARTY

DAVID ERNEST SILINDE
MBOZI MAGHARIBI
CHADEMA

SAMSONI KIWIA HIGHNESS
ILEMELA
CHADEMA

DIBOGO EZEKIA WENJE
NYAMAGANA
CHADEMA

SALVATORY NALUYAGA MACHEMLI
UKEREWE
CHADEMA

KULIKOYELA KANALWANDA PROF KAHIGI
BUKOMBE
CHADEMA

JOHN SHIBUDA MAGALLE
MASWA MAGHARIBI
CHADEMA

SYLVESTER MHOJA KASULUMBAYI
MASWA MASHARIKI
CHADEMA

MESHACK JEREMIAH OPULUKWA
MEATU
CHADEMA

TUNDU ANTIPHAS MUGHWAI LISSU
SINGIDA MASHARIKI
CHADEMA

PHILEMON KIWELU NDESAMBURO
MOSHI MJINI
CHADEMA
Records 11 to 20 of 22
 
Freeman kama mwenyekiti wa chama aliye na lengo la kusukuma mbele malengo ya chama cha chadema, kama mtu makini aliyefanikiwa kuitambulisha chadema ndani na nje, naona kwa heshima na taadhima apewe Ukuu huo kumtunza na kumpa mamlaka hayo mhimu pia kuleta uwiano wa kimadaraka ktkt chama na bunge pia. Wote walioshinda wanajua umhimu wa mwenyekiti ktk chama tuweni wakweli maana ccm sasa inakinyemelea chama hiki kwa nguvu zote na mamluki watapenyezwa kwa kila jmbo la chadema ili kupunguz nguvu 2015, miaka hii mbowe amevuka mitihani yote ya CCM, wengine ukimuacha slaa wametikiswa aidha kwa kujua au kwa kukusudia wakapunguza uaminifu uliokuwepo
 
Napenda kutofautiana nawe Kanali, ninazo highlights chache:

1. Maandalizi ya Uchaguzi wa 2015 yaanze sasa

2. Dr. Slaa alijizolea umaarufu na hata kukubalika na wapiga kura wake kutokana na kazi yake nzuri Bungeni.

3. CHADEMA wanaweza wakafanya uamuzi sasa wa kumtayarisha mgombea anayefuata kwa kuanza kumuuza katika nafasi hiyo ya Kiongozi Mkuu wa upinzani. (Nilisoma mahali Dr.Slaa akisema ama atakuwa Rais wa kipindi kimoja au atagombea mara moja - naweza kusahihishwa

4. Nimewsoma mhali kuwa Zitto Kabwe amesema atagombea nafasi hiyo, kwa hili wawe makini ili makundi yao ya ndani ya chama wasiyapeleke bungeni. Pia sijui taratibu za uchaguzi wake ukoje.

5. CHADEMA imepakwa sana matope ya propanganda ya Udini na Ukabila, wanaweza kuanza kulipambanua kwa kuanza kulionyesha hilo kwa kuchagua mtu asiye Mkristo wala Mchaga.
 
Napenda kutofautiana nawe Kanali, ninazo highlights chache:

1. Maandalizi ya Uchaguzi wa 2015 yaanze sasa

2. Dr. Slaa alijizolea umaarufu na hata kukubalika na wapiga kura wake kutokana na kazi yake nzuri Bungeni.

3. CHADEMA wanaweza wakafanya uamuzi sasa wa kumtayarisha mgombea anayefuata kwa kuanza kumuuza katika nafasi hiyo ya Kiongozi Mkuu wa upinzani. (Nilisoma mahali Dr.Slaa akisema ama atakuwa Rais wa kipindi kimoja au atagombea mara moja - naweza kusahihishwa

4. Nimewsoma mhali kuwa Zitto Kabwe amesema atagombea nafasi hiyo, kwa hili wawe makini ili makundi yao ya ndani ya chama wasiyapeleke bungeni. Pia sijui taratibu za uchaguzi wake ukoje.

5. CHADEMA imepakwa sana matope ya propanganda ya Udini na Ukabila, wanaweza kuanza kulipambanua kwa kuanza kulionyesha hilo kwa kuchagua mtu asiye Mkristo wala Mchaga.
Superman

Nimekupata, Kumbuka Mbowe ni mwenyekiti wa chama na maandalizi ni pamoja na Mwenyekiti wa chama husika kusikika. Tamko likitolewa ndani ya bunge hasa na mwenyekiti wa chama litauza chama zaidi kuliko kama litatolewa na mtu mwingine.

Sidhani kama Chadema watahitaji mtu mwingine wa kugombea 2015 zaidi ya Slaa aliyeanza kuzoeleka masikioni mwa wananchi. Kinachotakiwa ni yeye Slaa kuanza na mapema kwenda vijijini, aliwahi kusema kuwa endapo atashindwa basi kuanzia January ataanza kukiuza chama vijijini.

Suala la Zitto hilo liko wazi zile zilikuwa kelele za wapigadebe kwanza wakati huo 2015 Zitto hatakuwa na umri wa kumwezesha kugombea urais. Kuhusu matope ya udini na ukabila hizo zilikuwa ni kampeni afterall walijaribu kukipaka kuwa ni chama cha kichaga wakashindwa watakiweza sasa? maana kwa hivi sasa kina viongozi karibu sehemu zote za tanzania kimefika hadi kwa wasukuma kina Shibuda.
 
Profesa Mlambati na Regia Mtema wamechakachuliwa matokeo yao hivyo WAMESHNDWA!so wamebaki wabunge 22
 
the general who wins a battle makes many calculations in his temple ere the battle is fought. The general who loses a battle makes but few calculations beforehand. Thus do many calculations lead to victory, and few calculations to defeat: how much more no calculation at all! It is by attention to this point that I can foresee who is likely to win or lose.
-Sun Tzu, the Art of War
 
Hoja mwanana ila kwanza kabisa mwafaka wa ccm na cuf ujadiliwe kabla ya kuwashirikisha katika kambi ya upinzani! Ila bado napata wakati mgumu kusema cuf ni wapinzani! Msimamo wangu cuf ni watawala wenza wa ccm hivyo basi hawastahili kuwa kambi ya upinzani ka kuwakaribisha katika kambi ya upinzani ni kuua upinzani! Mzee wa kiraracha ni ccm katika mavazi ya tlp nccr nao ma inteligensia wa ccm udp watanzania mtakumbuka bwana mapesa alivyoisaliti kambi ya upinzani na ikapeleke yeye kufukuzwa uwaziri kivuli! Hivyo basi kama chadema yaweza kusimama yenyewe ni vema na haki kufanya hivyo na itaweza kujipambanua na hao wengine walio ccm ila katika mavazi ya upinzani
 
CUF ina viti 22 na Chadema in viti 22 bado majimbo sita hawafanya uchaguzi 4 yapo zanzibar na 2 yapo bara wakati cuf wanuhakika ya kupata majimbo mawili katika hayo kwa upande wa zanzibar na ikiwa chadema hawakushinda hayo majimbo kwa upande wa bara basi CUF ndio itayokuwa chama kikuu cha upinzani bungeni
 
CUF ina viti 22 na Chadema in viti 22 bado majimbo sita hawafanya uchaguzi 4 yapo zanzibar na 2 yapo bara wakati cuf wanuhakika ya kupata majimbo mawili katika hayo kwa upande wa zanzibar na ikiwa chadema hawakushinda hayo majimbo kwa upande wa bara basi CUF ndio itayokuwa chama kikuu cha upinzani bungeni
Kajifunze hesabu ya kupata idadi kamili ya viti bungeni siyo hivyo unavyopiga.
 
Wakuu, Zitto ni mtu ambaye HAFAI kabisa kuwa mkuu wa upinzani bungeni, sababu kama mnakumbuka humu ndani alishasema yeye huwa ana misimamo yake binafsi na ndio hiyo anaitetea. Sawa kabisa ni haki yake, lakini kwenye siasa hakuna misimamo binafsi, ni misimamo ya ailimia kubwa ya chama chako na especially wananchi wanaosupport hicho chama.

Zitto anadhani yeye ni smart sana na alitetea hoja ya Tanesco kununua mitambo feki ya Dowans na kuleta maneno mengi, mbona mitambo haikununuliwa na Tanesco wamejipanga vizuri kuleta magenarator mapya soon na nchi inaendelea???

Anachofanya ZITTO ni kuleta mgawanjiko mapema sana kwa CHADEMA kwa kujitangazia hadharani eti atagombea!!

Nasema Dr. SLaa aliyeleta namba ya wabunge wa chadema kuwa wengi, akae na wabunge wote wa Chadema na wakubaliane ni nani awe mkuu wa kambi ya upinzani.

Mimi Binafsi sitaki awe Mbowe wala Zitto, nataka awe either Halima Mdee kwa kuwa mwanamke pekee wa upinzani aliyechukua jimbo kwenye ngome ya CCM, au Tindu Lissu sababu huyu bwana anauelewa mkubwa sana wa matatizo ya wananchi na anajua kujenga hoja.


ZITTO huyu atatuletea matatizo sana huko mbeleni, nimeshamwona hulka yake ni kupaparika na kujifanya ana msimamo. Ameshindwa kusaidia hata kupata mbunge mwingine wa Chadema KIGOMA, VILE VILE percent yake aliyoshindia ni ndogo sana.
 
Nimeona Zitto amejitangaza kwenye Facebook kwamba anatarajia kugombea uwenyekiti wa Kambi ya Upinzani bungeni. Mpaka sasa sijaelewa anamaanisha nini...!

Pamoja na kwamba Zitto ni kijana na ni mtu ambaye anaonekana ni shupavu, tabia yake ya kupenda madaraka inaweza ikamgharimu sana. Kama mnakumbuka alikua ni chanzo cha kuleta mpasuko ndani ya CHADEMA wakati alipojitokeza kugombea uenyekiti na Mbowe. Safari hii tena naona anakuja na tabia hizo hizo hasw aukizingatia kwamba most likey, Mbowe atawania...! Hii tabia ya kupingana wazi wazi ndani ya chama kimoja ndio huwa chanzo cha kuporomoka kwa chama. CCM sasa inaporomoka kwa sababu ya tabia hizo hizo za kukosoana wanachama na viongozi wazi wazi na hivyo kuleta mgawanyiko ndani yake...!

Its time for Zitto to rethink his attitudes...! Otherwise asijidanganye kwa kujiona kwamba yeye ni bora na akafikiri umaarufu wake utadumu milele...!
 
SIO 22 TU... KUNA ZILE TUNAZOPELEKA MAHAKAMANI KAMA JIMBO LA UKONGA NA SEGELEA... USHIDI WA KUTOSHA NA WA NGUVU UPO... USISHANGAE MAJIMBO KAMA CHUNYA PIA WAKAENDA MAHAKAMANI........OOOH WISH I CAN BE THERE, I CANT WAIT TO EAT THEM...F.....:A S angry:
 
Ndugu zangu wana JF. Nashukuru kwa mawazo yenu. Ila tunahitaji kuona mbali je mwaka 2015 tunataka tuishinde CCM au tunataka tupate viti kwa kuokoteza kama hivi vya sasa. Kama tunataka kushinda wapinzani wote washirikiana (Chadema, NCCR, CUF, UDP na TLP), wagawane majukumu kama bunge lilopita. Huo Ushirikiano ukuzwa kwa ajili ya Uchaguzi wa 2015. Mfano Chadema, UDP, na NCCR TLP, wanaweza kuungani Tanzania bara ili kuwa na nguvu mwaka 2015. Nimeisema chadema na NCCR, TLP UDP kwa sababu maalumu. Sababu ni kwamba CUF haitaingia kwanye muungano wa Kuunganisha nguvu za wapinzani mwaka 2015 maana yenye Tayari ina mkataba na CCM wa serikali ya umoja kitaifa.CCM imetumia ila falasafa ya kikoloni ya DIVIDE and RULE. Tukiruhusu ubinafsi yatatokea yale ya 1995, Ugomvi kwenye kambi ya vyama vya upinzani ni Mzigo katika demokrasia kwa nchi kama ya kwetu ambapo wananchi wataambiwa "wenyewe tu wameshindwa kushirikiana je tukiwapa nchi wataweza". Na CCM sasa hivi imejipanga/itajipanga kuhakikisha upinzani hautatulia, kutakuwa na mgogoro n.k. Naomba mungu usiwepo maana leo Nchi yetu ingekuwa imekombolewa kama sio mgogoro wa NCCR 1995-2000. Nashauri kwamba Chadema au CUF wasing'aganie nani awe Kiongozi wa Upinzani, ila taratibu zinasemaje? Kama idadi ya wabunge inaruhusu yenyewe kiongozi wa kambi ya upinzani kama ilivyokuwa kwa CUF bunge lilopita, na CUF itoe naibu kiongozi wa upinzani bungeni. Pia tunahitaji Kiongozi makini wa Kambi ya upinzani si wa kupiga tu makelele awe na uwezo wa kujenga hoja na ana haiba ya kuwa raisi wa baadaye.
PIA NASASHAURI KILA BUNGE LINAPO MALIZA VIKAO VYAKE WABUNGE WA UPINZANI MUWE MNATEMBELEA MAJIMBO MBALIMBALI , HASA YALE MAENEO AMBAYO HAMKUPATA KURA ZA KUTOSHA KUPELEKA MATUMAINI MAPYA. mfano "operesheni chakaza/Sangara". Mkibaki tu mnapiga makelel bungeni, 2015 mtapigwa mwereka mpaka mtashangaa.
Na watanzania waliowapa matumaini watawalaani na mtakuwa mmewarudisha nyuma katika ndoto zao.
Naomba mpiganie TUME huru ya uchaguzi na KATIBA MPYA.
Mungu awabariki
 
You miss my point, kila mtu ana-peak yake mkuu... bsi turudi nyuma zaidi kwa akina mtei kama ndio hivyo...

Kila mtu ana peak, and thats it, kumbuka hata timu ikipanda daraja huasajili watu wa daraja la kwanza kuhimili mikiki na kuepusha hatari ya kushuka daraja, kama umeona kila chama cha upinzani tanzania ni almost one tem opposition party, we have to break the duck

umeshawahi kuimagine mbowe kiongozi wa upinzani na anna kilango spika??

Mbowe hafai kuwa kiongozi wa wapinzani bungeni, tetea, fanya nini, huo ndio ukweli... tanzania iko kwenye transition kwenda kuzuri na any decision now is worth more than our steps towards multiparty

tafakari kwamba hatutoi nafasi kama zawadi bali wa uwezo

Tuondolea u CCM wako hapa, mbona sisi hatukuja kuwasaidia na kuwachagulia huyo (Mkwere Kilaza) mwenyekiti wenu kuwa mgombea wa urais? Wewe kaa usubiri serikali kivuli atakayo unda ndiyo ujue alivyo short tempered.
 
wakuu, mmesahau chadema ina wabunge 23 kwa sasa. Ongeza Prof. Kahigi, Bukombe. Katika orodha ya wali toa watatu waliochakachuliwa (kilombero, ulanga, arumeru magharibi).
 
CUF wanao wabunge jumla 24 ( 22 visiwani) na 2 bara-lindi na masasi
 
Cuf watakuwa kiongozi wa upinzani kwani hadi sasa wana wabunge 23 na viti maalumu hutegemea uwiano wa idadi ya wabunge na si vinginevyo.

Viti maalumu, ni idadi ya kura za ubunge majimboni, siyo idadi ya wabunge waliopatikana, Chadema, itakuwa na Wabunge wasiopungua 25 viti maalumu, na CUF havitazidi 10 viti maalumu
 
Back
Top Bottom