Mh. Dr Kikwete; tuma salamu za rambirambi kwa familia za wafiwa Songea

Mr Misiba labda mumtumie ombi la kuja msibani.

hakuna msiba alioomba kuhudhuria misiba yote yeye ndo anaomba kwenda basi afanye hivyo na songea hata salam tu tutajua yeye ni raisi wawatanzania.
 
Hivi raia tukiamua kuwachenjia Polisisiem huku uraiana watasalimika kweli? Hebu Songea lianzisheni mnaondoa mmoja baada ya mwingine tuone sasa!
 
hakuna msiba alioomba kuhudhuria misiba yote yeye ndo anaomba kwenda basi afanye hivyo na songea hata salam tu tutajua yeye ni raisi wawatanzania.

Hicho mbona kipimo kidogo sana? Anaweza kufanya hilo kwa kuzuga tu
 
Mwacheni ajiliwaze si mlimbughudhi na migomo ya madaktari wakat wa likizo yake mbugani!
 
Mwacheni ajiliwaze si mlimbughudhi na migomo ya madaktari wakat wa likizo yake mbugani!
hatukumubughudhi ilikua lazama itokee ukingazitia wakati huo kulikua na joto la posho za wabunge.sema labda amezoea shida kiasi kwamba imekua sehemu ya maisha yake.
 
je hizo picha za songea zitapendeza kama zile za misiba ya sehemu nyingine ambazo akipigwa anaweka nne ili travota yake ionekane?
we dogo unampinga dongo ata prezidaaa wako?? Aya ngoja mi nichekecheke kijk te te thi thi thi... Aya nakojoa ili nikalale..
 
Rais ana watendaji wengi chini yake na si lazima kila kitu afanye yeye bhana!
kumbuka watendaji wa chini wakikosea anaelaumiwa ni rais hivyo kama yeye yuko makini hata watendaji wa chini wanakua makini
 
Back
Top Bottom