Hukumuzuku
JF-Expert Member
- Aug 29, 2008
- 6,630
- 4,938
hahah..sawa nimekupata mwana ila yote haya tumshukuru yeye kwa kuvipa uhuru vyombo vya habari ndio maana tunaweza kuongea hembu jaribu kukumbuka zama za ukweli na uwazi kipindi kile tungeweza kuongea hivi.? wazo tuu
Kwa hiyo unataka kusema kwamba huo "ukweli na uwazi" tulio nao hivi leo ni sababu ya ridhaa ya JK, na siyo maendeleo ya kiteknolojia, utandawazi na hata sheria tulizo nazo za uhuru wa kujieleza?