Mh. Anna Kilango, lini barabara ya Mkomazi-Same inajengwa?

KIGHERA

Member
Nov 19, 2010
84
27
Nimepita huko wiki iliyopita ila bado ile ahadi yako ya kuijenga ile barabara hujaitimiza au kama kawa unasubiri iwe kwenye kampeni za 2015!
 
huyu mama ni muongo sana na sijui kwa nini watu wa same wanaendelea kumchagua..kiwanda cha tangawizi kala hela. hii bara bara toka kipindi cha mkapa iliahidia hadi leo
 
sijasikia hata siku moja mama kilango ameondoa shilingi kwenye bajeti ya wizara ya fedha. kikwete aliahidi hiyo barabara mwaka 2005 sasa mpaka leo hakuna kilichofanyika. mama kilango alitakiwa apiganie barabara hiyo ipandishwe daraja na kubwa barabara ya kitaifa. baada ya hapo ahakikishe inatengewa bajeti kwa ajili ya ujenzi. HUU NI MWAKA WA SABA SASA MAMA KILANGO YUKO BUNGENI.
 
Halafu kuna usanii umefanyika maana kuanzia pale mpirani kwenda mpaka pale gonja(papliki) eti kuna kalami n kenyewe kameshaanza kumomonyoka,pale napo CAG aende akafanye 'value for money audit' maana nahisi kuna mshiko umeliwa pale haiwezekani barabara mwaka jana leo imeshaanza kumomonyoka ni afadhali biskuti ya kilwa road(aliyoikataa magufuli) kuliko ile!
 
Vipi huyu mama pamoja na kujipendekeza kote UDC amekosa? Tusubiri URC
 
Nimepita huko wiki iliyopita ila bado ile ahadi yako ya kuijenga ile barabara hujaitimiza au kama kawa unasubiri iwe kwenye kampeni za 2015!

mkuu hili swali lako subiri aje ajibu mtoto wake yule baharia mwenye sura chachu kama ya ma.vi alafu huwa anajisifia kwa watu eti ye ni handsome boy. Gosh........
 
mbona amekuwa kimya sana nowadays. yale mapovu aliyokuwa akiyatoa yameishia wapi? au ndo mambo ya mshiko kutembezewa ili afunge domo.

mwanzoni nilimuona kama anafaa sana CDM lkn inaelekea ni upepo tu na umeshapita.

na nyie wapiga kura wa Same, acheni balaa lenu la kuwapa magamba uongozi! wanakula AHADI na wanalala AHADI
 
toto lake maneno mengi lazima atakuja hapa kutudanganya atadai mama yake kaenda marekani kununua malighafi za kiwanda cha tangawizi we ngoja aje hapa utaona

Kwani mjomba bado hizo mali ghafi hazijafika?
 
Back
Top Bottom