Mh Aesh Khalfan Hilaly anasaka cheti milembe kumuokoa Patrick Maufi

......... Ni chama cha kimafia kichunguzeni ndugu zangu halafu na matendo yanayoongozwa na wenye dhamana ndani ya chama, ni balaa na hatari juu ya mustakhali wa Taifa letu.
 
Nawashauri wafikirie kwa makini sana huo uamuzi. Wajiulize maswali kadhaa, wakifanikiwa kujibu then waendelee.
 
Huyo kapufi anaepewa ukichaa ndie aliepambana na said amur arfi wa cdm kugombea ubunge wa mpanda town akabwagwa vibaya,cdm wakitaka kupata undani wa hii inshu wamuulize said arfi mbunge wa cdm mpanda town anayajua yote.
 
heeee angeuwawa kabissaaa
akutane na hili wazo zuri sana
huyo anayejisingizia wazimu wamuweke kwa wenye wazimu kweli
ingekuwa pouwa saaana ni adhabu ya kutosha angekufa na yeye
kama alivyomuua mwenzie
pambav zake na hao wanaomkingia jiunga wake



Sasa naanza kukubaliana na yule Kibajaji mbunge wa Mtera alipoliomba Bunge liwapime akili, nazani huyu jamaa alikuwa najua kabisa ndani ya chama chake si wazima wa akili! hahahaha, ukweli bana hata uufukie vipi ipo siku tu utaibuka, kwa nini wasimpeleke kabisa wodi za vichaa akambane na vichaa wenzake kuliko kufoji vyeti!
 
Aeshi alimulawiti Mhindi lakini hajachuliwa hatua.Amatus Luhumba kaiba kweli kweli lakini amekaa jela siku mbili tu na akapiga simu kwa L
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom