Mh Adam Kighoma Malima, hii ni promosheni au demotion?

Hivi hata kilimo chenyewe anakijua? Anajua mbolea ya Minjingu ambayo wakulima hawaipendi?
Nafikiri anaijua kwa sababu mbolea ni sehemu ya madini na yeye ndiko alikokuwa ila walikuwa wanaifanyia mtimanyongo tu ili isikamate soko na kuharibu soko la ile ya nje yenye 10%@kilamuwezeshaji.com
 
Back
Top Bottom