Mguu wangu wa kuku

Nina hamu nayo sana hii kitu,lkn kwa jinsi nilivyo na madereva wa daladala na ninapomkumbuka Marehemu Brother Dito(RIP) naona bora ni'vutevute subira kwanza.

hao wa daladala hata mimi wangenipa kesi tu, na wale madereva wanaowasha full light usiku utadhani wanawinda.
 
ha ha ha, ingawa watanzania wengi wanamisuse! Mwulize Saint Ivuga akwambie. Mwingine

anakupa lift amekaweka kwenye dash board! Mwingine akifika rose garden anaagiza kalocal beer anakaweka mezani ili

mradi tuu kupeana presha

Hao wanakosea. Nilipokuwa mdogo niliwahi kuona hiyo kitu chumbani kwa dingi kaificha (Nilikuwa mtundu usiulize maswali). Ila nilikuwa najiuliza "hivi jambazi akituvamia baba ataweza kweli kuwahi kuichukua huku alipoificha"? Nilitamani sana kumwuliza hilo swali lkn nikawa naogopa atakaponiuliza nimejuaje ntajibu nini.
 
Huu ndo mpango mzima, kitu AK 47,

ak-47_type_ii_part_dm-st-89-01131.jpg


Hii sasa mashine kubwa, personally huwezi kuwa nayo pengine labda uwe Adam Kighoma Malima
 
Hao wanakosea. Nilipokuwa mdogo niliwahi kuona hiyo kitu chumbani kwa dingi kaificha (Nilikuwa mtundu usiulize maswali). Ila nilikuwa najiuliza "hivi jambazi akituvamia baba ataweza kweli kuwahi kuichukua huku alipoificha"? Nilitamani sana kumwuliza hilo swali lkn nikawa naogopa atakaponiuliza nimejuaje ntajibu nini.


Na kwa profile picture yako mwaJ naona una 'utundu' mzuri zaidi ya kufichua bastola, ha ha ha
 
Last edited by a moderator:
Mkuu huku nilipo silaha zinauzwa kam Biskuti tu unazikuta Madukani wewe unachotakiwa uonyeshe Kitambulisho chako unauziwa na Risasi pamoja huku mtu akikukorofisha basi unaweza kumtandika mara moja silaha sio kitu kizuri kuuzwa kama juice.

aisee Mzizi mkavu upo wapi,maan nahitaji sana hiyo kitu...
 
Last edited by a moderator:
JF haiishi vituko.hii thread ningekuwa nimeianzisha mtu kama mimi ningeshapigwa bann.

kwani tatizo liko wapi? angalia maudhui yaliyopo. inawezekana hujui dhima ya thread zote . kuna za kuelimisha na kufurahisha. sawa??
ok sikushauri ununue bastola
 
Sijawahi kumuona aliyenayo ikamletea faida-wengi ninaowajua waliyopata ni matatizo tupu!!!

Nakuunga mkono Mkuu. Mifano halisi na ya karibu ni Ukiwaona D. Mzuzuri (RIP) na Rage. Mfano tarajiwa ni kwamba sio kila wakati utakuwa unatembea nayo hata ukiwa Msikitini au Kanisani. Kuna siku "Wanao Kusanya bila Kutawanya" wakakuvizia getini wakati unaingia nyumbani, wakucharange mapanga wewe, Darling wako na watoto wote hadi utakapoufukua kule shimoni kwenye uvungu wa kitanda na kuwapatia waondoke nao. Baada ya hapo utauguza makovu ya mapanga na kujieleza Polisi Post ilikuwaje mguu wa kuku ukachuliwa !!!
 
mchakato unaenda duka la silaha (tanganyika arms) unachagua unayoitaka kama ni glock, perreta... unailipia full amaunt then mashine inakuwa reserved, unapewa receipt na fomu unapeleka serikali za mitaa/mjumbe anarecomend then unapeleka polisi wilaya wanakuchunguza/kuhoji na wanarecomend then polisi mkoa nao unawapelekea. ukipitishwa na hao wote unarudisha fomu pale ulipolipia wanakupa mafunzo mafupi then unakabidhiwa mashine.... only that LAKINI polisi wakirecomend usipewe unakuwa refunded full amaunt

Hapo Serikali za Mitaa wameharibu kila kitu, maana sasa mtaa mzima utaelewa kuwa hiyo kitu iko ndani ilhali inatakiwa kuwa siri kwanza mpaka siku nikomwona mtu anaparamia sight mirror ya Harrier yangu ndio watafahamu na kunza kucheza mbali na ukuta wa nyumba yangu !!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom