Mguu na mkono wa kushoto

Kama ni hivyo hakuna tofauti hasa kama umeweza kuwatambua kiurahisi hivyo. Vipi kuhusu wengine weeeeeeeeeeeengi usiowajua na wanatumia mkono na mguu wa kulia?
 
Rogi, halaf kuna kamdada hapa jiran bonge la kilaza hakaelewi wala hakaeleweki, ndio nmegundua leo kuwa na kenyewe ni mashoto wa mkono, teh, hii inaendelea kunidhihirishia kuwa mashoto ni wa kawaida tu kama ss wengine,
Nambe,ukikuta kilaza ni kilaza kweli..ila ukikuta bright ni bright mbaya..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom