Mgonjwa Moro asafirishwa kwa mkokoteni

Kassim Awadh

JF-Expert Member
Mar 12, 2012
884
187
Maisha bora kwa kila mtanzania? Mjini morogoro bibi mmoja alisafirishwa kwa mkokoteni baada ya kukosa hela ya ama kukodi gari ama usafiri mwingine, Hivi mahospitalini dawa sehemu kubwa ni za kununua atakuwa alimudu gharama?
 

Attachments

  • IMG_4277[2].jpg
    IMG_4277[2].jpg
    66.7 KB · Views: 89
jamani madktari walichokuwa wanakigomea ndo kama hiki.mi niliwaelewa kabisaa.lakini sisi watz kwa kuwa uwezo wetu wa kufikiri ni mdogo, tunawalaumu tuu, bila kufikiria
 
Mkuu nahisi nadharia yako si ya kweli! Maana inavyooshesha huyu mama alikodi mkokoteni kubeba mizigo yake! kutokana kutokana na kutoweza kumudu spidi ya msukuma mkokoteni,akaamua naye awe mzigo ili wafike sambamba na msukuma mkokoteni!
 
Mkuu nahisi nadharia yako si ya kweli! Maana inavyooshesha huyu mama alikodi mkokoteni kubeba mizigo yake! kutokana kutokana na kutoweza kumudu spidi ya msukuma mkokoteni,akaamua naye awe mzigo ili wafike sambamba na msukuma mkokoteni!

Hii habari imetoka Globalpublishers mkuu,,huyo bibi katoka Matombo huko kuja Moro kwa ajili ya matibabu ana matatizo ya miguu kutokana na hali ngumu alimudu tu kukodi mkokoteni
 
Tatizo lao madaktari wanagoma kutaka maslahi yao,. Jibu jepesi kwenye ishu za maana
 
usiwaonee wivu kazi yao ngumu sana..na wanalipwa kidogo sana..angalia tra,bot,tanesco?!!maslahi yao ndio lakini siyo primary goal yao..fwatilia acha kubwabwaja..iq yako inaelekea ni 60.
 
huyu si wa kumuonea huruma..walidanganywa na wakakubali sasa kazi kwao
 
Back
Top Bottom