Mgonjwa lazima apone!

Askari Kanzu

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
4,598
1,233
Hizi huduma zinafaa kuanzishwa pale Muhimbili. Madaktari huwaga mnapitia humu?

540394_344196522311017_128992177164787_949389_725617482_n.jpg
 
Hizi huduma zinafaa kuanzishwa pale Muhimbili. Madaktari huwaga mnapitia humu?

540394_344196522311017_128992177164787_949389_725617482_n.jpg

Huyu mgonjwa inaonesha yuko ICU, unconcious, glassglow coma scale, siwezi ku-estimate, hivyo hasikii kitu. Na hao jamaa kama ni Drs, basi wako kwenye mgomo. Mkikumbuka mgomo wa madaktari 2006 Drs walileta tarumbeta pale mui2 manesi wakacheza, wagonjwa wakaburudishwa, weeeeeeeeeeeeeee! mlipiga kelele.
 
Umenichekesha sana nikifikiri madokta wa bongo washushe sebene icu pale muhimbili wachonga masanduku wa manzese watafurahia dili ile mbaya.
 
DUh Bongo mtu ukitaka apone labda wapeleke kanga moko hasa mgonjwa akiwa mwanaume, KM mwanamke mmmh! sijajuwa bado wanataka nini
 
Back
Top Bottom