Mgonjwa akataa kutoka muhimbili moi;nitoke hosp niende wapi guest???

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,462
21,334
Kwa walioona itv tarifa ya habari inasikitisha sana kuna familia imekaataa kumtoa mgonjwa wao pale moi baada ya kuambiwa na uongozi husika wa MOI MUHIMBILI waondoe mgonjwa wao
swala hili liemetokea baada ya mgonjwa wao kuambiwa vipimo na dawa vinaweza chukua mil 2 akini we katafute mil 1.8 ,wakiongea kwa huzuni wamesema wao wameweza kupaata mili 1.2 tu lakini tulipowafwata wakatuambia tumchukue mgonjwa wetu ati kama atutaki watatuletea polisi hapo ndipo walipochemka tukaamua kuja itv kueleza hali alisi...mgonjwa alipoulizwa na mwandishi wetu alisema yeye amesema awezi kutoka na kusema waniue tu nitoke niende GUEST???

INAUZUNISHA SANA RAIS KIKWETE KWENDA NA KUNDI LA WATU USA KILA MARA HUKU WAKITUMIA MILLION SI CHINI YA MIATATU 300MIL....WAKATI HUO HUO KUTENGA BILIION 50 KWA AJLI YA KURUDI MADARAKANI HUKU WATU WAKIFA KWA KUKOSA MIL 1.8,,,HUU NII UHUNI MKUBWA LAAAANA KUBWA RAIS WETU...THAMININI MAISHA YA WATU...JAMANI LEO PALE MUHIMBILI AMELETWA MTU MMOJA NA DEFENDER PT 7850 AKARUSHWA TOKA GARINI KAMA KUKU WAKAONDOKA ALIPOULIZWA AKASHINDWA KUJIELEZA BAADA YA KUPEWA DRIP AKADAI AMEOKOTWA AJALA SIKU YA TATU YEYE NI OMBA OMBA NA TANGU MVUA INYESHE AJAPATA KABISA HATA YA CHAKULA....

HIVI RAISI WETU UNAJUA HAYA MAMBO AMA UKIALIKWA MUHIMBILI MPAKA UKAFUNGUE JENGO????
 
Endeleeni kuichagua,si ndio nyie mnaosema CCM itatawala milele?

Acha muvi iendelee,tutaheshimiana tu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom