Mgongo

Belinda usitake nicheke mamie, mimi massage nafanya mwenyewe na hiyo aloe heat. Kiukweli sina wa kunifanyia massage hata BF sina mpaka nifanye mawindo mara moja moja tena kwa mbinde kweli kweli.

Duuu for real? I can be your part time massage expert? you do not have to pay me in dollars we can discuss....napenda in kind payments.....nimesomea hii massage Thailand ....you wont regret
 
Ha!ha!ha!ha! umeiona hiyo eeeh!

BWT: Kaka siku hizi mummy mbona kama unamtenga sana....hasa wakati huu wa shida, mgongo unamuuma for real...ww unataka kum'Massage'' CD (Caroline Danzi)?.....mmepeana talaka tatu tayari?
 
Hahaha mama tupo vizuri, mgongo ulimuanza tulipokuwa vacation sijui kitu gani kilitokea....hujanisoma vizuri wakati nammassage CD Bellies anakuwa pembeni isije kukosea na kupata ajali kazini teheeheheeheheh
 
Ha!ha!ha! Masa...menichekesha sana kwa kweli.....! possibly ulim ''massage'' kwa hasira sana hasa ukichukulia mlikuwa vacation.....mtindo wa bandika bandua.....!

Hata akiwa pembeni mkuu.......vidole vinaweza teleza! siunajua hata ma HG huwa jamaa wanakosea japokuwa mummy anakuwa around....kienda sokoni tu......jamaa wanapiga kilonga longa!

Hata na hivyo hujaonesha care Belly anastahili from you hasa wakati huu...watch out, umemsikia SOA hapo juu....eeehh!
 
Hahahah SOA amepinda huyo hahahahahahah one minute mhhhhh sidhani.....Bellies popote ulipo nimepata dawa za mitishamba kutoka Sumbawanga kwa Mzee Simbakalia, njoo kwa tiba ...si unajua tiba asili zilivyo malidhawa?

masa
 
Duuu for real? I can be your part time massage expert? you do not have to pay me in dollars we can discuss....napenda in kind payments.....nimesomea hii massage Thailand ....you wont regret

Mh! mbona hujawahi kusema au kwa sababu umesikia anaumwa mgongo ndo unajifanyia matangazo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom