Kashaijabutege
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 2,696
- 740
Tusipowaachanisha watauana. Kati yao mgomvi nani?
Wa chini kauanzisha na wa juu anauendeleza
Huyo wa juuu...
Tusipowaachanisha watauana. Kati yao mgomvi nani?
Kuna mdada mmoja jirani yangu hapa nimemwonyesha akasema, "huyo dada wa juu ndiye mgomvi"
Subiri kidogo tafadhali, naomba definition ya ugomvi/ugoni
Kuchokoza, kuchokonoa, kuumiza, kupiga, kubonda, kutwanga, kutusi, kuzodoa....
Kuchokoza, kuchokonoa, kuumiza, kupiga, kubonda, kutwanga, kutusi, kuzodoa....