Mgomo wanukia UDOM

KWETU PAZURI

Senior Member
Oct 14, 2011
161
26
Hii ni kutokana na wanafunzi
kutokupewa bum la pili hadi
sasa na kuna wengine hilo la
kwanza bado, baadhi ya
wanafunzi wameskika
wakisema hawatajali uwepo
wa hati za viapo vya
kutokugoma. Ukienda ofisi za
bodi ya mikopo hapa kanda ya
kati, wao wanasema pesa ipo
chuoni, sasa wanafunzi
wanajiuliza nn kinasababisha
uchelewashaji huu.
Hakuna haki inapatikana bila
mgomo.
 
Sio kweli wakati mwingine ufuatiliaji wa karibu unaweza fanikisha jambo, c lazima mgome! umesahau watumishi wa umma kila kitu kwao lazima wafuatiliwe mgongo kwa mgongo ndo kitendeke?
 
Mkiandamana tu mkae mkijua kuna watu laifu la UDOM ndo itakuwa basi, komaeni na kitabu na muachane na mambo ya migomo.
 
Sio kweli wakati mwingine ufuatiliaji wa karibu unaweza fanikisha jambo, c lazima mgome! umesahau watumishi wa umma kila kitu kwao lazima wafuatiliwe mgongo kwa mgongo ndo kitendeke?


Hapo kwenye bold ndio hasa binafsi nisipopapenda, kwanini mambo hayafanyiki mpaka tusukumane? Hii culture ni mbaya, nakumbuka kesi ya Ditopile ilivyopelekwa haraka, kuuliza wanasema "mawakili wake ni wafuatiliaji wazuri". It means the government can not act on time unless it is pushed or lobbied.

Leo ni UDOM, a six hours trip to Dar na afadhali wana ofisi ndogo, tomorrow itakuwa Kigoma au Ukerewe nani atafanya huo "ufuatiliaji mzuri"? Things should change.
 
Yaan washasahau ya udsm,na wenzao ambao hawajalud ngoja wagome watolewe kafala cc ye2 macho
 
tumekuwa kama mateka kwenye nchi yetu wenyewe sababu ya wash*nzi kama 7 hivi..wanajeshi nao hovyo tu,waooooga
 
najua mnaishi katika mazingira magumu kifedha,lakini kumbuka mkigoma tu mtafukuzwa si mnaona yaliotoke udsm,ninyi komaeni na kitabu
 
Back
Top Bottom