Mgomo wa watumishi wana taaluma na waendeshaji udom

May 7, 2012
21
4
Chuo hiki kimekuwa moja ya vyuo bogasi hapa nchini mbali ya kwamba serikali imewekeza pesa nyingi sana. Uongozi wa juu ni mbovu na serikali unauona lakini inafumbia macho. Mwenyekiti wa council tunakuomba utusaidie kuhusu mchwa hawa waliovimba sana vichwa vyao.

Idara hazijasimama kwa sababu wamewekwa watu wasio na uwezo, idara nyeti ya rasilimali watu ina uozo mtupu, walimu wa upe wakiongoza na mtaalamu wa udahiri wa wanafunzi. Ni muda muafaka kutazama mustakabali wa chuo jamani sio kupelekana tuu. Mama wa rasilimali watu jiuzulu huwezi kazi zako jamani, ng'oka ng'oka ng'oka.

Mshauri wa wanafunzi kazi yako kula watoto badala ya kuwashauri mambo yanayofaa, ng'oka, kwanza ulitolewa idara hiyo kwa kuwa hukuwa unaweza kazi sasa umerudije au ndio ukabila??
Tumechoshwana mambo haya ya udom, tunaomba uongozi wa juu mkapa na mwapachu muangalie jambo hili na mtusaidie, chuo kina umaarufu wa majengo na sio thamani ya elimu. Watumishi wanaacha kazi kila kukicha ifanyike uchunguzi, iundwe tume kuchunguza haya yote.
uozo wote ni kwa ajili moja watu wanaoajiriwa hawajui kazi zao na wanaajiriwa watu feki, shida ni idara ya rasilimali watu.
Ifutwe au watolewe waliopo waletwe watu wapya.
 
Udom zi zaid ya tatizo,vp kuhusu wale vijana waliosimamishwa na kutimuliwa?
 
niko nchi za watu natafuta shahada ya uzamivu...nlijisemea nikirudi nitajaribu bahati hapo udom....ilaaaa kwa sasa nimezika rasmi mawazo hayo baada ya kugundua zengwe kubwa hapo!! unless chuo kistabilize....
 
Back
Top Bottom