Mgomo wa wanafunzi wa kiislamu wasitishwa baada ya madai yao kutekelezwa- pongezi kwa raisi wao

Status
Not open for further replies.

Paulo

JF-Expert Member
Jan 5, 2009
350
66
Ndugu wana JF. Kwenye baya tukemee na kwenye jema tupongeze. Mimi nampongeza Raisi wa Jumuia ya wanafunzi wa kiislamu kwa kufanikisha madai ya wanafunzi hao kwa njia ya amani. Ila tusiache hili jambo lipite hivihivi kabla ya kulijadili. Chini ni picha ya Raisi wa jumuiya hiyo, hivyo naamini na yeye ni mwanafunzi pia. Swali langu ni kwamba hii jumuiya ni ya wanafunzi wa secondary & primary schools tu ama inajumuisha hadi vyuo? Kama haijumuishi na vyuo basi ninamashaka na huyu raisi kwani anaonekana ni mtu mzima na sio wa level ya sekondari. Pia anafuga tu-ndevu kitu ambacho sii ruhusa kwa wanafunzi ambao sii wa college. Hivyo pamoja na pongezi kwake naomba tujulishwe ni mwanafunzi wa level gani. Mwisho, CDM hakikisheni mnampa kadi ya uanachama huyu raisi kabla magamba hawajamhonga!
2012-03-09_1015.png

Source:http://www.issamichuzi.blogspot.com/
 
Hope bwana Jaafar ni member humu, hivyo tungependa kusikia kutoka kwako na mtizamo wako juu ya kujiunga CDM!
 
Hope bwana Jaafar ni member humu, hivyo tungependa kusikia kutoka kwako na mtizamo wako juu ya kujiunga CDM!
 
Ww inakuhusu nn ww muislam?,pongezi za kinafk tu mbona uliyonayo moyon dhid ya uislamu huyatoi
 
Ww inakuhusu nn ww muislam?,pongezi za kinafk tu mbona uliyonayo moyon dhid ya uislamu huyatoi

Du! MTZNUNDA kweli ww NUNDA! Ww unajua imani yangu? Sasa unafiki uko wapi katika hili? Au ulikua umejiandaa leo kwa maandamano na Jafar alipotangaza kwamba serikali imesalimu amri ukachukia? Tumsifu huyu kijana na nakukuhakikishi atakua na future nzuri sana hasa kama ataingia ktk siasa ama atasomea masuala na upatanishi na usuluhishi ktk migogoro.
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom