mgomo wa wallimu je kwa serikari hii na chama chao tutafika?

The speaker

Member
Jul 10, 2012
5
0
kuhusu mgomo wa walimu kiukweli ccm wanatupeleka vibaya na wanatumia siasa katika mambo yasioitaji siasa, Maana walimu wetu ndio wanaowatengeneza wao wawe katika nafasi zao. kama Raisi wa nchi ndio anatoa tamko kama lile unategemea nini? watarudi shule lakini watakayoyafundisha ni kinyume na kinachotakiwa, Bila kujipanga hii serikari inabidi ijiuzuru.
 
Back
Top Bottom