mgomo wa walimu!!

mgunda1990

Member
Jul 19, 2012
73
4
Unafki na uwoga miongon mwa walimu,kupata suluhu itakua ni ndoto,mmeambiwa msiende kwenye vituo vya kaz,mnakwenda,na kura ya kuunga mgomo mlipiga bila shuruti...je kwa namna hii tutafika kwel??
 
Wanaweza kuwa na msimamo mmoja but serikali ina vibaraka wake miongoni mwa walimu wenyewe..kimsingi mfumo wa serikali yetu ndio kikwazo cha watu kudai haki zao....ili kufika yatupasa tujitolee..ili kizazi kijacho kisikute matatizo haya.
 
Mwalimu bado wanangoma na bado Wanaendelea kugoma ikiwemo kiongozi wa inchi jana kashidwa kutoa hitimisho kamili kuhusu mgomo huo
 
Back
Top Bottom