Mgomo wa Walimu waiva; watoa notisi ya masaa 48

tunapozingumzia waalimu tunazungumzia daraja la mafanikio kwa kila mtu anyejua maana ya elimu. binafsi sintasahau nilivyo ingia darasa la kwanza na kupata sifuri katika somo la kusoma lakini nikafanya vizuri kwenye hesabu na mwandiko lakini haikuchukua muda mrefu nikajua kusoma vizuri na siwezi kuwasahau walimu wangu wawili waliitwa kabogoyo na zongo. na ikimbukwe wakati huo hakukua shule za awali kijijini.
lakini kwa sasa kwa mafanikio niliyo nayo kwa mchango wao naona ni zaidi ya barabara au njia katika mafanikio ya watu wengi. lakini kada hii imekuwa ni kada ya kudharaulika kwa sababu kuu zifuatazo
waalimu wengi wamekuwa hawajikubali baada ya kukubali kazi ya uwalimu kama option ya mwisho katika kupata kazi
wamemuekea mwajiri wao mazingira ya kumtegemea mno kiais kwamba na yeye haogopi tena.
sasa nini kifanyike
cha kwanza ni wao kujikubali vizuri na kujua bei yao
cha pili ni kujipanga na kuacha kuitegemea serikali kwa ajira na wao waweze kutengeneza mazingira ya kujiajiri( kwa hapa nipo tayari kutoa mchango mzuri wa mawazo yangu ikitokea nikakutana nao japo toka jana naendesha kwawaalimu wachache nianao kutananao ila nahitaji kundi la waalimu kama 100 tuyajenge)
mwisho jamii idhamini na ifundishwe jinzi ya kudhamini mchango wa waalimu na wajitoe kwa mafanikio ya jamii
kugoma hakuta ongeza bei yenu dhamani yenu ni zaidi ya dhahabu kwa jamii( tunaweza kuishi bila dhahabu lakini hatuwezi kuishi tukiwa wajinga)
 
Waalimu wengi hawana qualifications za kukidhi kiwango! Kama walivyo askari, wengi wao walichagu fani hiyo baada ya kukosa options zingine zaidi ya hizo kutokana na viwango vyao duni vya ufaulu. hivyo basi ni kwamba serikali inawapa fadhila tu kuwalipa hata laki 3 kwa mwezi, otherwise hawakustahili hata kumi.
duh kweli wewe Rich Dad
 
I wish ungejua hata wasomi wa Tanzania nao ni kama hawa walimu. Kwa elimu yako wewe (Division 1) umeifikisha wapi Tanzania!! Sidhani kama hawa wa division 4 hawakukukfundisha wewe na kufikia hapo ulipo ukadhiriki hata kuwatukana. SHAME ON YOU.

Sijatukana mtu, qualification/passes za kwenda ualimu ni at least 28 pts which is div 4. Nilijua mtakurupuka kunilaumu. Na wizara ya elimu kuona ubovu huo, sasa wamepandisha na kuwa dpt 27. Mimi sina div 1 to be honest, nina 3, lakini walimu wanachukuliwa wenye pass dhaifu. Hilo nalisema hata kesho. Form five wanachulikuwa wenye div 1,2 na kidog 3. Huo ni ukweli nitausema hata kesho. Siyo kwamba mimi ni super, hapana nasema ukweli. Mtindo wa kupeleke pass za mwisho kwenye ualimu ukome. Actually inabidi wapelekwe wenye div 1, kama wanavyofanya vyuo vikuu kubaki kuwa TA lazima uwe na GPA kubwa-min 3.8 for law faculty
 
daaah! umenishangaza.Hivi ulisemalo ni kweli? kwamba walimu wote hapa tz wana ufaulu wa 4 tena ya point 28?

Hapana ila majority! Jamani najua ukweli unauma na wamenishambulia wengi, lakini ualimu pass ya mwisho kwenda huko ni pt 28. Nasikia mwaka huu wamepandisha na kuwa 27. Sidhani kama form five wanapokea wenye point 28/27?
 
Waalimu wengi hawana qualifications za kukidhi kiwango! Kama walivyo askari, wengi wao walichagu fani hiyo baada ya kukosa options zingine zaidi ya hizo kutokana na viwango vyao duni vya ufaulu. hivyo basi ni kwamba serikali inawapa fadhila tu kuwalipa hata laki 3 kwa mwezi, otherwise hawakustahili hata kumi.


Tumia akili kidogo Rich Dad, kama siyo walimu wewe ungekuwa hapo ulipo? Kwa taarifa yako walimu wana akili nyingi kuliko za kwako ndiyo maana wakakufikisha hapo ulipo!
 
Mwl ni chombo muhimu sana lkn ushauri wangu USIGOME, Usiige tembo kunya............... Mtakwenda kuyachimbua na yaliyomezwa kama niyafahamu walimu wengi unqualified wanatumia majina ya watu, wenye uhakika wa vyeti vyao halisi ni 40% na hao ndiyo wanastahili na wengi wamestaafu, hivyo nawaomba endeleeni kubembeleza tu mpaka mtakapojibiwa. Au mjipange vyema msinunuliwe tena.
 
Hayawi hayawi hatimaye yamekuwa! Kuanzia J3 ya tarehe 30 Julai hadi Ijumaa yake, pause kidogo, kisha mchakamchaka tena hadi kieleweke! All the BEST WALIMU WETU!
 
Hapana ila majority! Jamani najua ukweli unauma na wamenishambulia wengi, lakini ualimu pass ya mwisho kwenda huko ni pt 28. Nasikia mwaka huu wamepandisha na kuwa 27. Sidhani kama form five wanapokea wenye point 28/27?

Hapana! siyo kweli. Je, walimu wa sekondari pia walipata pointi 28? na waliomaliza chuo kikuu nao walipata pointi 28? Hata hivyo point 28 siyo kufeli; aliyefeli hana cheti.

Chuakachara usiwadharau walimu maana ndio waliokufundisha wewe na wengine hata mkapata kazi mnazoona ni bora kuliko ualimu. Ni mwalimu anayefundisha na kulea watoto wetu, tena siku hizi kuanzia kindergaten. Mwalimu akiamua kumfanya mtoto wako awe kilaza anaweza. Don't joke please!
 
Raisi wa chama cha walimu ametangaza rasmi mgomo utakaodumu kwa siku tano jumatatu 30/7/20012- hadi 03/8/2012 na kama hakitaeleweka (madai ya walimu kutofanyiwa kazi) utaendelea baada ya kufungua shule
HII NI MOJA YA SMS ZINAZOSAAMBAA KWA KASI YA AJABU(SPEED OF LIGHT)``RAIS WA CWT AMETANGAZA MGOMO WA WALIMU LEO.MGOMO UNAANZA J`TATU30JULY HADI AUGUST 3.KISHA BAADA YA KUFUNGUA SHULE MGOMO UTAANZA TENA HADI KIELEWEKE. NI MGOMO WA WALIMU KUBAKI NYUMBANI-WAJULISHENI WALIMU WOTE"
Dear teachers solidarity forever kama mjuavyo mahakama za Tz zitafanya kazi j`mosi au j`pili letstand and fight together for our rights
SOURCE: MAKATIBU WA CWT MKOA NA WILAYA
 
twende mbele hakuna kulala..... mpaka kieleweke......JK alidhani ikulu ni kama kijiwe cha gahawa..... MUNGU WABARIKI WATANZANIA
FREEDOM IS COMING SOON
 
I'm absolutely supporting it!!!but will it be strong in such extent!!!?kwa sababu tayari kuna chama kingine kimeundwa kichinichini,sijui ndo divide and rule ili mgomo usiwe na nguvu!!maana walimu wanasisitizwa eti wajiunge na hicho chama kipya na madai ni kuwa cwt haina nguvu!!na wanaohimiza hivyo ni wakubwa wa serikali yaani maafisa elimu!!!but all in all SOLIDARITY FOREVER:yawn:
 
Hawa watageukana kesho asubuhi..hakuna watu wasio na umoja kama walimu..wengi wao vyeti magumashi wanaogopa sana kuumbuka,,,mtaona...
 
Waalimu wamekuwa watu wa kudharauliwa na kubezwa, haya sasa uoga tuache nyuma na unafiki tuepuke.

Tumeona mshikamano wa madokta, sasa waalimu tuungane. Japo watakuwepo vibaraka wa kutitisha na kutusaliti. tusiogope.

Hata wafanyakazi wa sekta binafsi, mashirika ya umma na serikali, tuunganishe Huu mgomo, ili tuweke na maandamano ili kudai ufisadi wa NSSF na PPF.
 
Back
Top Bottom