Mgomo wa walimu nchi nzima

MWL MTZ

Member
Aug 12, 2011
39
2
hivi chama cha walimu tz kutangaza mgomo wa walimu nchi nzima mwakani baada ya likizo utafanikiwa kweli, wamejipanga? maana nijuavyo mimi migomo mingi imeshindwa kuleta mabadiliko kutokana na tofauti kati ya walimu wenyewe pia hata walimu kutokuwa na imani na chama chao [cwt]. mfano mwaka jana chama kilitangaza mgomo nchi nzima alafu baadhi ya walimu waliendelea na kazi kama kawaida vijijini. je mwaka huu wamejipanga?
 
Kuna wengine wameingia na vyeti feki sasa watagoma kweli na maisha haya ya bongo noma c mnayaona wenyewe akifukuzwa .......................
 
Hata siku moja hawawezi kugoma kwanza si unajua upatikanaji wao wengi wao wanaona hako kanafasi ni mkombozi kwao hivyo wanakashikilia kweli ndo maana serikali inakamua.
 
Kama wamechoka kazi, waache. Nafasi zenyewe wanapata kama last choice halafu kwenye mshahara wanataka wapewe first priority. Ni ujinga.

How comes, aliyepata div four ya 28 anataka nae kuisumbua serikali.
 
Nimesikia mama sitta akiwaasa kuwa wanaweza kupata madhara zaidi badala ya manufaa kwenye mgomo huo.
 
Hao jamaa wanaotaka kugoma waje wajifunze Kenya how its done, walianza walimu week tu gov ikatia akili wakakubaliana gov iongeze more teachers, then lecturer wakaitia serikali kiwewe wakagoma kama kawa government ikasalimu amri, then now doctors wanagoma from monday unless government ikubali what they want. These guys wanataka salary increament ya more than 300%. I salute these guys yani wakisema wanagoma wanagoma kweli sio kwetu jamaa hakuna hata mmoja atagoma. I guess there is a very big disconnect between their leaders in Dar na mikoa mingine! Lets wait and see
 
Waalimu hawawezi kugoma ni waoga mno,na hawana ujanja huo wengi ni vilaza tu kwa sababu wanajua hapo ndio mwisho wao,hawana pengine pa kupatia hizo hela kiduchu wanazopata.
 
Kweli walimu mnayokazi,kama ata mnao au mliowafundisha wana wadisi hivi basi kazi hipo.
 
Walimu walikuaga enzi za nyerere hawa wa sasa ni njaa 2.over
 
kunahitajika kuwe na tofauti kati ya walimu wa primary na secondary, kiukweli walimu wa primary ni mabogus waoga na wanafki. Na viongozi wa CWT wengi ni walimu wa primary na siku zote huwabagua wa secondary na wanatumia wingi wao kupiga kura kuwachagua wenzao wa primary kuwa viongozi wa CWT wakati ni wajinga hawajui leadership. Kwa walimu wa secondary mgomo unaweza kufanikiwa ila hawa wa primary mh! Hata hawajiulizi kwa nn wenzao wa secondary hulipwa hela ya kujikimu na mizigo wakati wa kuanza kazi wao hawalipwi? Yaani wananikera na siku uongozi wa CWT ukiangukia kwa secondary teachers mambo yatakuwa tofauti ila sasa kwa ujinga huu wa walimu wa primary sidhani????!
 
Kama wamechoka kazi, waache. Nafasi zenyewe wanapata kama last choice halafu kwenye mshahara wanataka wapewe first priority. Ni ujinga.

How comes, aliyepata div four ya 28 anataka nae kuisumbua serikali.

ACHA use... na fikra zisizo na ukweli kuna wa2 wana division 1 halafu wanafundisha so be carefull na hizo kauli bana.
 
Acheni kuwaponda walimu jamani,mishaara wanapewa ni midogo jamani,hv 150,000/= inatosha kweli mwezi mzima? Mie hiyo natumia ndani ya siku 5 tu ishakwisha.
 
Kama wamechoka kazi, waache. Nafasi zenyewe wanapata kama last choice halafu kwenye mshahara wanataka wapewe first priority. Ni ujinga.

How comes, aliyepata div four ya 28 anataka nae kuisumbua serikali.
acha waisumbue hiyo serikali, kwanini serikali hiyohiyo iwasomeshe ualimu watu walio feli ili iwanyanyase? najua wewe kama ni mwananchi wa tanzania basi nawe ndo hiyo serikali. mbinafsi mkubwa we.
 
acha waisumbue hiyo serikali, kwanini serikali hiyohiyo iwasomeshe ualimu watu walio feli ili iwanyanyase? najua wewe kama ni mwananchi wa tanzania basi nawe ndo hiyo serikali. mbinafsi mkubwa we.

walimu utawatambua tu..pole sana mkuu.
 
Back
Top Bottom