Mgomo wa walimu na maamuzi ya Serikali, Mahakama

1. Mara zote mfanye mwalimu mwoga kwa chama na serikali.
2. Mlaghai kwa wito na si kipato.
3. Mfundishe kuwa mpole asidai haki.
4. Mfanye asiajiriwe sekta nyingine ili umtumie.
5.Mlipe kidogo atumike milele.
6. Mtumie kwenye chaguzi na sensa, ajione bora.
7. Msifie kila siku, avimbe kichwa.
8. Weka viongozi wa CWT asifurukute.
9. Mtumie kama ubao wa matangazo kwa t-shirts za chama.
10. Mara zote wagawe na kuwatawala.
 
Hii ni kutoka kwenye katiba yao ama....!?
 
Naomba niongezee amri ya 11

Mpe Kanga doti 2 na Kitenge kimoja na Pilau wakati wa Kampeni za uchaguzi ili akupigie kura milele.

lol, eenh
Chama
Cha
Mafisadi
 
Mijinga ndivyo iliwavyo !!!!! kanga na pilau na t.shirt na vijikofia, wanauza uhuru kwa bei ya kutupa halafu kesho wa kwanza kulalamika, na bado.
 
Mijinga ndivyo iliwavyo !!!!! kanga na pilau na t.shirt na vijikofia, wanauza uhuru kwa bei ya kutupa halafu kesho wa kwanza kulalamika, na bado.
Huu si udhalilishaji kwa Chama tawala? Maana naona kila joke ina Siasa... Au mnaichukulia utani? Kwa wale ambao wanaona hii inakidhalilisha Chama Cha Mapinduzi (CCM) tafadhali tutumie malalamiko na hii topic itafungwa na kuondoshwa MARA MOJA!

info@jamiiforums.com
 
Habari zilizo fika sasa hivi ni kwamba COURT OF APPEAL imefuta hukumu ya HIGH COURT na walimu sasa ruksa kugoma!

Sijui kama tutafika, hebu kumbuka migomo na migogoro ya NMB, wazee wa EAF, TRL, Wanafunzi vyuo vikuu, sasa walimu na walivo wengi kila kona ya Tz, nao.... hivi kutakalika?

Taratibu naona ile AMANI NA UTULIVU VINA YOYOMA...!

(Mod, p/se waweza iunga kwa ile ya zamani)
 
Nashukuru sana kwa taarifa. Sasa tuone mambo yatakwendaje? Walimu na watu wengine lazima wapewe uhuru wa kutumia haki yao ya kikatiba kuibana serikali iwalipe madai yao.
 
wagome kwani malipo hayajalipwa bado? Huu utakuwa usanii mtupu wa serikali!! Jamani lipeni hawa walimu maana wanafanya kazi ya wito. Hamtakiwi ku-disturb morali ya kazi waliyo nayo. Naamini ni uzembe wa baadhi ya maafisa serikalini.
 
Naomba wana JF mnieleweshe mgomo huu unawahusu waalimu wote hata wa Sekondari na Vyuo?

Ndiyo,.. lakini wahadhiri (lecturers) hawahusiki. Unawahusu wanachama wa chama cha walimu Tz (CWT). Wahadhiri au walimu wa Vyuo vikuu kama ambavyo tumezoea kuwaita si wanachama wa CWT kwa hiyo hawahusiki!
 
Ni walimu wa primary and secondary schools...

Malipo bado yanahakikiwa

Bwana uturehemu...
 
Walimu wakigoma muda huu impact yake itakuwa shuleni kutakuwa hakuna mwalimu wa kuandikisha watoto wa darasa la kwanza na hivyo mwaka kesho tutakuwa na pengo la darasa la kwanza. Kama wangegoma wakati ule kungesababisha crisis kwani watoto wa form 4 wangekosa wasimamizi wa wanafunzi wa form 4 na kungekuwa na crisis ya mrundikano wa watoto wa form 4.

Ili mgomo tarajiwa uwe na impact inabidi uhusishe walimu wote wakiwemo walimu wakuu, na ukianza sasa uendelee hadi mwakani ili form 1 na darasa la 1 wakose mwalimu wa kuwapokea na kuleta kasheshe kubwa!!! Tusubiri uongozi wa Walimu utakuja na strategy gani.
 
Just imagine familia nzima ina mgomo dhidi ya serikali!!!!!!!

1. Babu ni mstaafu wa EAC

2. Mama no Mwalimu.

3. Baba no mfanyakazi wa Shrika la reli TRL,

4. Kaka ni mfanyakazi wa NMB na

5. Dada ni mwanafunzi wa UDSM

JE, TUTAFIKA??????????????????????????
 
Ni walimu wa primary and secondary schools...

Malipo bado yanahakikiwa

Bwana uturehemu...

Yana hakikiwa kwa myaka mingapi? kwani madai haya hayaja anza leo...

Hawa walimu wetu waliotufikisha hapa tulipo pamoja na kufanya kazi katika mazingira magumu, hawathaminiwi kabisa, wakati bila wao hata sisi hizi keyboard tungeona herufi juu yake ni maua, kweli serikali haiwatendei haki!

Hichi kisingizio cha kuhakikiwa hadi lini? na kwanini hiyo kazi isifanyike huko huko halmashauli ama wilaya husika na badala yake inafanywa makao makuu kuliko jaa wajanja ambao huishia kujilipa hela hizo kwa kughushi badala ya wahusika? kwa kweli sielewi, sielewi utendaji wa serikali yangu!

yaani ni kama ngoma ya mdundiko kila anaye jisikia na popote alipo anaibuka na kuserebuka, mara wa kuzuia migomo mahakami kinyume cha sheria, mara wa kutishia watu na kunyamazisha vyombo vya habari, mara wa kufukuza wanachuo, mara wakutishia kwamba mafisadi wakikamwatwa nchi haitawaliki, kila mmoja na lwake kwa kwenda mbele!
 
Ni walimu wa primary and secondary schools...

Malipo bado yanahakikiwa

Bwana uturehemu...

Muungwana alisema wahakikiwe mmoja mmoja physically kwa kila shule, wilaya na mkoa etc nafikiri uhakiki utakamilika 2010 kabla ya uchaguzi. tusubiri na tuone! Bwana atusaidie
 
Sasa afadhali nitamwambia wifi/shem wenu agome live kwani alikuwa anafanya mgomo baridi mpaka kwangu....naona hapo atafrahi sana kwa habari njema kama hii...serikali yetu wamejaa viongozi ambao wazembe wa hali ya juu walimu wanapandishwa madaraja ila mshahara hawapandishi huu si uzembe wa watumishi wa serikali?
Mbona sijawahi sikia wabunge au mawaziri wamecheleweshewa mishahara/posho malupu lupu n.k! na hao watumishi wengine wawe wanawafanyia faster kama wengine.
 
Yana hakikiwa kwa myaka mingapi? kwani madai haya hayaja anza leo...

Hawa walimu wetu waliotufikisha hapa tulipo pamoja na kufanya kazi katika mazingira magumu, hawathaminiwi kabisa, wakati bila wao hata sisi hizi keyboard tungeona herufi juu yake ni maua, kweli serikali haiwatendei haki!

Hichi kisingizio cha kuhakikiwa hadi lini? na kwanini hiyo kazi isifanyike huko huko halmashauli ama wilaya husika na badala yake inafanywa makao makuu kuliko jaa wajanja ambao huishia kujilipa hela hizo kwa kughushi badala ya wahusika? kwa kweli sielewi, sielewi utendaji wa serikali yangu!

yaani ni kama ngoma ya mdundiko kila anaye jisikia na popote alipo anaibuka na kuserebuka, mara wa kuzuia migomo mahakami kinyume cha sheria, mara wa kutishia watu na kunyamazisha vyombo vya habari, mara wa kufukuza wanachuo, mara wakutishia kwamba mafisadi wakikamwatwa nchi haitawaliki, kila mmoja na lwake kwa kwenda mbele!

Kuna siku nilikuwa naongea na mhasibu mmoja kwenye kinywaji jioni baada ya saa za kazi, tulifahamiana bar pale Bagamoyo wilayani. Aliniambia hizo pesa za walimu zilishalipwa siku nyingi na watu wanavuta muda tu, hawakutegemea kabisa kama ipo siku waalimu wa nchi hii watakuja kuwa organized kiasi hiki kamwe.

Sasa wanashangaa kwamba wameweza kufanya kile ambacho hawajawahi kufikiria. Habari ya mgomo kwa waalimu ni kitu ambacho kwa serikali ya mafisadi ilikuwa ni msamiati mkubwa usiofikirika. Hii ikifuatiliwa vizuri inaweza kuwa ni EPA nyingine ila itahusu watu wengi sana ndani ya nchi hii

Kuna walimu hawajalipwa madeni yao kwa zaidi ya miaka 20-30
 
Kama wanagoma wagome kweli kweli wawaulize wenzao wa kenya wanavyomean business. Nina hakika itasaidia angalau kupunguza ubabaishaji wa serekali hii inayojiona Miungu wa Duniani.
 
Nashukuru sana kwa taarifa. Sasa tuone mambo yatakwendaje? Walimu na watu wengine lazima wapewe uhuru wa kutumia haki yao ya kikatiba kuibana serikali iwalipe madai yao.

sawa tuu maana naona serikali imekazana kuwalipa TRL na kunamuwekezaji... hii haingii akilini kabisa.... hapo lzm kuna kitu......hii serikali bado imelala inadhani na wananchi wake wamelala
 
Serikali ni wajanja.....wanajua mgomo ungetokea wakati ule walimu wametaka kugoma impact yake ingekuwa kubwa hasa kwa sababu ulikuwa wakati wa kuelekea kwenye mitihani ya kitaifa. Kwa sasa nadhani mgomo hauwezi kuwa na impact kubwa kwa sababu wanafunzi, walimu n.k wanaelekea kwenye likizo kubwa ya mwisho wa mwaka katika wiki mbili au tatu zijazo.
 
Back
Top Bottom