KIM KARDASH
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 5,139
- 1,139
Hivi mbona wabunge hawagomi???
Ni mbunge mmoja tu mwenye ujasiri wa kugoma,mh.zitto kabwe peke yake hawa kina mbowe,mnyika,juma nkamia na wengine ni wachumia tumbo na waunga mkono posho za kukaa kitako tu ambazo badala ya kutumika kama mishahara ya walimu wanaosimama wima kutwa na chaki mkononi wanazichukua wao kwa kukaa kitako tu tena wengine kwenye kiti cha mbele kabisa pale karibu na waziri mkuu wakibadilisha tu mikao ya ukaaji wa kusubiri posho.