Mgomo wa wahadhiri UDOM wanukia

mwaka jana mdogo wangu nilimwambia apply udom alikataa katakata na kusema udom ina sifa mbaya ya udini, na vile vile ni chuo cha kata ambacho ni mtaji wa ccm katika kupata kura
 
huyo wa Administration huwa anaajiri sawa ila approval ya mwalimu anayeajiriwa inaanzia kwa DVC academic. please check......

Usahili ni mchakato mrefu sana na ni wengi wanaohusika ila mwisho wa siku atakayeajiri ni dvc utawala!!!!!!! ninayo mifano mingi mizuri ingawaje siyo ya Udom, unakuta anayepewa nafasi zaidi anaachwa kutegemeana na mwenye maamuzi ya mwisho ana interest gani.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom