Juzi yule m'babu wa chama cha waajiri amepinga mgomo na watu kibao wamemsapoti!...Kuna uwezekano wa mafanikio kwenye hili kweli?....Otherwise mgomo ni hatua ya muhimu sana kwa mfanyakazi, kama njia zinginezo muafaka zote zimeshindikana!!
Mazingira yasiyo salama ya kazi, tija pia (manake mie nalalamika kwamba sijisikii kama natumiwa ipasavyo atii!).
Pamoja kwa sanaaaaa! Tukimaliza wa maslahi tuanzishe wa kugomea wanasihasa![/QUOTE]
kauli mbiu hapo zitakuwa nyingi tufanye kuchagua tu ipi irembeshe 'KAMUKUNJI' yetu
Mimi nitashangaa sana kama walimu watagoma, maana juzi juzi walimtosa Musiba kwenye mgomo wao. Walimu wetu hawa hawaeleweki kabisa!Nitashangaa sana kama walimu hawatagoma maana mazingira wanayofanyia kazi ni magumu mno.
mwaka huu lazima kieleweke
hasa suala zima la PAYE
na mifuko ya pensheni
unyonywaji tumechoka
BHT Paye inatumaliza mie kila nikiiangalia natamani kutoa chozi ..