Mgomo wa wafanyakazi wa Pepsi, nimepoteza hamu na soda zao

PlanckScale

JF-Expert Member
Sep 28, 2008
550
169
Hizi habari za mgomo zinazotokana na kunyima watu haki zao zimenifanya nipoteze hamu ya kunywa kinywaji cha pepsi. Kwakweli mimi basi. Atakaye weza kunywa pepsi atakuwa na roho ngumu kweli!
 
Mtoa mada ,katoa taarifa akijua kila mtu anajua juu ya mgomo wa hao wafanyakazi.jaribu kuwa Na mtazamo mpana kuliko hoja zako hizo.

Ht mimi sijamuelewa huyu MTU, ugumu wa maisha unavuruga akili za watu, Magufuri alegeze kidogo aisee
 
Hizi habari za mgomo zinazotokana na kunyima watu haki zao zimenifanya nipoteze hamu ya kunywa kinywaji cha pepsi. Kwakweli mimi basi. Atakaye weza kunywa pepsi atakuwa na roho ngumu kweli!
pepsi ilvo tamu hvo,,mie nakunywa kwan lazma wafaanye kaz pepsi? kama wanajeuri waambia waache wakafanye cocacola nyanza/kwanza/bonite...hhaahhahah pepsi tamu niiache kisa kina watu wamegoma? thubutu
 
yaani nakuunga mkono ndugu,...watz wenzetu wananyasika sana kule pepsi,.....hapa watanzania ni kuacha kutumia pepsi ili kiwanda kipate hasara
 
Hizi habari za mgomo zinazotokana na kunyima watu haki zao zimenifanya nipoteze hamu ya kunywa kinywaji cha pepsi. Kwakweli mimi basi. Atakaye weza kunywa pepsi atakuwa na roho ngumu kweli!

Kama Pepsi wamejidhihirisha hawafanyi ethical business basi wanaweka bidhaa zao kwenye hatari sokoni. Of all unjustices ambazo business entity inaweza kufanya ni kuwanyima wafanyakazi haki zao, mfanyakzi lazima awe na makataba unaoonesha haki zake za mshahara, malipo ya ziada, sick leave, rest day, muda wa mapumziko, haki yake ya kujiunga na chama cha wafanyakazi, likizo , mshahara kulingana na sekta, retirement benefit, malipo kwenye mifuko ya jamii, kutonyanyaswa kazini etc.
 
Dah.,, Hivi bado unauza koka?
 
Sina sababu ya kuacha kunywa, kuuza pepsi, kwa sababu ya maslahi yao nitaacha kutumia vingapi. Kwa kutetea haki za wafanya kazi, ila niwape hongore kwa kuiiboresha hii soda. Ipate wakati wa jua kali alafu iwe ya baridiiiii eti niache kiinywa, ili kuwaunga mkono hao wanadai haki zao ni kunywa hizi soda, tukizigomea na wao hawana kazi. Hakuna mwajilii anaelipa vizuri wakati biashara haiendi.
 
Kama Pepsi wamejidhihirisha hawafanyi ethical business basi wanaweka bidhaa zao kwenye hatari sokoni. Of all unjustices ambazo business entity inaweza kufanya ni kuwanyima wafanyakazi haki zao, mfanyakzi lazima awe na makataba unaoonesha haki zake za mshahara, malipo ya ziada, sick leave, rest day, muda wa mapumziko, haki yake ya kujiunga na chama cha wafanyakazi, likizo , mshahara kulingana na sekta, retirement benefit, malipo kwenye mifuko ya jamii, kutonyanyaswa kazini etc.

Apparently, you are the only one who could see the social-economical implication of this; a private company adopts subversive practices through another middle company in order to undermine workers' rights. I intentionally left the topic vague to gauge mtazamo wa wanainchi kuhusu hili.
 
Back
Top Bottom